Amehitimu form four mwaka jana na amechaguliwa kusoma diploma, je ana sifa ya kuomba mkopo HESBL?

Diploma in Veterinary Laboratory Technology na meseji ya kuchaguliwa imeniambia kozi imepewa kipaumbele cha kupewa mkopo ajabu nikiingia OLAMS kuna sehemu nakwama kwa sababu nadaiwa taarifa za form six au certificate
Unendaje diploma bila certificate na huna cheti cha form 6? au hili mimi sijui vizuri,? maana nachojua kama hujahitimu kidato cha 6 ni lazima upite kwanza NTA Level 4 halafu 5 then 6 sidhani kama unaweza kuanza mafunzo ya diploma moja kwa moja bila kupitia certificate kama huna cheti cha form six.
 
Wewe unazungumzia zile diploma za kuungaunga
 
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
Hizi ndizo sifa walizoweka HESLB
 
Attachments

  • Screenshot_20240719_075935_WPS Office.jpg
    Screenshot_20240719_075935_WPS Office.jpg
    744.5 KB · Views: 36
Hatimaye wameweka kipengele cha form four sasa lakini...
 
Nashukuru Mola nimefanikiwa kutuma maombi,
Naomba mniambie mtu aliyechaguliwa kusoma water supply ana sifa ya kuomba mkopo?
 
Hizi nyuzi hizi kuna comments nyingine duuh, ila alhamdulillaah dogo AMEPATA MKOPO na kitabu kinaendelea (diploma ya veterinary nini nini huko sijui atajua mwenyewe 🤣😂😁)
 
Back
Top Bottom