Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Sep 9, 2023
228
353
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari.

Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
 
Hapo pana kesi mbili. Anaweza amua kufungua zote
Moja polisi
Pili mahakamani
 
Ayo mambo ya marekani unaleta bongo be cool tu watu tushapewa kashifa kubwa na bado tukasamehe ......
 
Tatizo sio kusamehe bali mke, Watoto na ndugu wa marehemu ni majirani, huwezi elewa wanalichukuliaje hili suala. Si wataamini ndugu Yao amekufa Kwa ushirikina na wanaweza siku moja wakamvamia jamaa na mapanga kama walivyokuwa wanafanyiwa watu walivyokuwa wanahisiwa walozi
 
GHARAMA ZA KUAPISHWA KUWA WAKILI BAADA YA KUFAULU LAW SCHOOL:

1: JUDICIARY FEES = 110,000/=

(mnyambuliko wa hiyo judiciary fees ni

-Admission Fee : 20,000/=,

-Practicing Fee : 50,000/= na

-Notary Public & Commissioner for Oath Certificate : 40,000/=.

{Sub total judiciary fees = 110,000}.

2: TANGANYIKA LAW SOCIETY FEES = 396,000/=
(mnyumbuliko wa hiyo TLS fees ni

-Annual subscription fee : 80,000/=

-Deceased Advocates Trust Fund (DATF) - 50,000/=

-Legal Aid Advocacy Centers (LAACs) Wakili house : 200,000/=

-East Africa Law Society : 46,000/=

-Identity Card : 10,000/=

-Journal : 10,000/=

3: TLS AND JUDICIARY SEMINAR

(Seminar before Admission) : 130,000/=

4: STAMPS (MIHURI)
Inategemea unataka Desk au Pocket:
Gharama ya Desk Stamps
-Desk Certification : 72,000/=
-Desk Notarization: 72,000/=

Gharama ya Pocket
-Pocket Certification : 67,000/=
-Pocket Notarization : 67,000/=

Mihuri yote hiyo ni Electronic na unaweza kuamua kuchukua desk au pocket peke yake au yote minne desk 2 na pocket 2.

-Ink (wino ni automatic) : 10,000/= ukitaka unaweza kuagiza wino zaidi ya chupa 1. Kila chupa moja 10,000.

NB: Gharama hizi zinaanza kulipwa soon (punde) tu baada ya kutoka ku appear mbele ya Jaji Mkuu (CJ) for interview.

Kwa upande wa mihuri unaagiza baada ya kuapishwa na CJ.

5: GHARAMA BINAFSI:

Joho: 100,000 au 150,000 au 200,000 etc.
Bib: 10,000 au 15,000 n.k.
Suti: 100,000 au 200,000, 300,000.

halafu atoe ushauri mtandaoni bureee.
only Bush lawyers can do that.
NENDA KWA WAKILI LIPA ADA ONANA NAE AKUPE USHAURI.
 
Nadhani hii sio busara, kama ujisikii au unaona ni ubush kumsaidia mtu, it's better ungesoma uzi na upite zako, sio kujichosha kuandika uzi wote huu wa reply. Na sidhani kama ukimpa ushauri itaongeza izo gharama, ama sioni kama usipo msaidia ndio itapunguza izo gharama. In short, your reply is very unethical 👎.​
 
Mimi naweza kukushauri usamehe,mahakamani si tu unaenda leo kesho hukumu,by the way naona mhusika bado yuko na hasira,jipe muda baada ya hasira kuisha harafu uone ikiwa yafaa kufungua kesi au laah
 
GHARAMA ZA KUAPISHWA KUWA WAKILI BAADA YA KUFAULU LAW SCHOOL:

1: JUDICIARY FEES = 110,000/=

(mnyambuliko wa hiyo judiciary fees ni

-Admission Fee : 20,000/=,

-Practicing Fee : 50,000/= na

-Notary Public & Commissioner for Oath Certificate : 40,000/=.

{Sub total judiciary fees = 110,000}.

2: TANGANYIKA LAW SOCIETY FEES = 396,000/=
(mnyumbuliko wa hiyo TLS fees ni

-Annual subscription fee : 80,000/=

-Deceased Advocates Trust Fund (DATF) - 50,000/=

-Legal Aid Advocacy Centers (LAACs) Wakili house : 200,000/=

-East Africa Law Society : 46,000/=

-Identity Card : 10,000/=

-Journal : 10,000/=

3: TLS AND JUDICIARY SEMINAR

(Seminar before Admission) : 130,000/=

4: STAMPS (MIHURI)
Inategemea unataka Desk au Pocket:
Gharama ya Desk Stamps
-Desk Certification : 72,000/=
-Desk Notarization: 72,000/=

Gharama ya Pocket
-Pocket Certification : 67,000/=
-Pocket Notarization : 67,000/=

Mihuri yote hiyo ni Electronic na unaweza kuamua kuchukua desk au pocket peke yake au yote minne desk 2 na pocket 2.

-Ink (wino ni automatic) : 10,000/= ukitaka unaweza kuagiza wino zaidi ya chupa 1. Kila chupa moja 10,000.

NB: Gharama hizi zinaanza kulipwa soon (punde) tu baada ya kutoka ku appear mbele ya Jaji Mkuu (CJ) for interview.

Kwa upande wa mihuri unaagiza baada ya kuapishwa na CJ.

5: GHARAMA BINAFSI:

Joho: 100,000 au 150,000 au 200,000 etc.
Bib: 10,000 au 15,000 n.k.
Suti: 100,000 au 200,000, 300,000.

halafu atoe ushauri mtandaoni bureee.
only Bush lawyers can do that.
NENDA KWA WAKILI LIPA ADA ONANA NAE AKUPE USHAURI.
Kuna mawakili wanasimamia kesi za watu bure bila malipo,acha ubinafsi kijana
 
Kuna baadhi ya wasomi wa Bongo ni washamba na malimbukeni mno. You top the list.
 
Hizo gharama ndo zinakufanya usitoe ushauri au umeamua kujifurahisha?

Hakuna MTU ambaye hajasoma kwa gharama .

Unapotoa ushauri unaongeza value katika career yako sio kila kitu utaingiza PESA .
 
Nadhani hii sio busara, kama ujisikii au unaona ni ubush kumsaidia mtu, it's better ungesoma uzi na upite zako, sio kujichosha kuandika uzi wote huu. Ni sidhani kama ukimpa ushauri itaongeza izo gharama, ama sioni kama usipo msaidia ndio itapunguza izo gharama. In short, your reply is very unethical 👎.​
Mshamba huyu.
 
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
Pole sana ndugu yangu, hapa nitakusaidia kwa ufupi sana na kadri ninavyoelewa.

Kwanza apo tayari kuna kesi aina mbili tofauti, nitaelezea.​
  1. Jinai: hii inahusiana na matusi, huu ni uzalilishaji wa matusi na ni kosa chini ya kifungu cha 89 cha sheria za kanuni ya adhabu (penal code). Kanuni hizi unaweza zisoma hapa kwa uelewa zaidi.​
Screenshot_20240429-054726.jpg
2.​
Madai: hii inahusiana na kuambiwa kwamba ameua. Huu sio uzalilishaji bali ni kashifa (defamation).Na kesi ya hivi unalipwa kutokana na kashfa hiyo kama ukiweza kuiprove (sitoelezea kwasababu maelezo yake ni marefu kidogo).​

Kwahiyo apo unaweza amua kufungua kesi moja au zote kulingana na matakwa yako. N:B. Ni muhimu kutafuta mwanasheria ili kukusaidia katika mchakato mzima wa kesi yako.​
 
View attachment 29763572.
Madai: hii inahusiana na kuambiwa kwamba ameua. Huu sio uzalilishaji bali ni kashifa (defamation).Na kesi ya hivi unalipwa kutokana na kashfa hiyo kama ukiweza kuiprove (sitoelezea kwasababu maelezk yake ni mengi kidogo).​
Kwahiyo apo unaweza amua kesi moja au zote kulingana na matakwa yako. N:B. Ni muhimu kutafuta mwanasheria ili kukusaidia katika mchakato mzima wa kesi yako.​

Umempa , insight nzuri Sana.

umetumia taaluma yako vizuri na tunakufatilia Sana kwa machapisho yako

Endelea hivyo mkuu.

When you serve more you earn more.
 
Nadhani hii sio busara, kama ujisikii au unaona ni ubush kumsaidia mtu, it's better ungesoma uzi na upite zako, sio kujichosha kuandika uzi wote huu wa reply. Na sidhani kama ukimpa ushauri itaongeza izo gharama, ama sioni kama usipo msaidia ndio itapunguza izo gharama. In short, your reply is very unethical 👎.​
Sawasawa CJ
 
Pole sana ndugu yangu, hapa nitakusaidia kwa ufupi sana na kadri ninavyoelewa.

Kwanza apo tayari kuna kesi aina mbili tofauti, nitaelezea.​
  1. Jinai: hii inahusiana na matusi, huu ni uzalilishaji wa matusi na ni kosa chini ya kifungu cha 89 cha sheria za kanuni ya adhabu (penal code). Kanuni hizi unaweza zisoma hapa kwa uelewa zaidi.​
Madai: hii inahusiana na kuambiwa kwamba ameua. Huu sio uzalilishaji bali ni kashifa (defamation).Na kesi ya hivi unalipwa kutokana na kashfa hiyo kama ukiweza kuiprove (sitoelezea kwasababu maelezo yake ni marefu kidogo).​

Kwahiyo apo unaweza amua kufungua kesi moja au zote kulingana na matakwa yako. N:B. Ni muhimu kutafuta mwanasheria ili kukusaidia katika mchakato mzima wa kesi yako.​
Nafikiri hapo kwenye madai anaweza hata kudai fidia ya fedha kiasi fulani kama matamshi ya huyo mtu yanamuaffect kibiashara ma shughuli zake ..inategemeana pia huyo mtu alizungumza hayo maneno sehemu gani na watu gani pia walisikia, lakini lazima athibitishe ni jinsi gani shughuli zake za kiuchumi zimekuwa affected kutokana na maneno haya..

Pia, ahakikishe anamashaidi walioshuhudia huyo mtu wakati anatamka maneno hayo

Ingawa ni vizuri kupata mwongozo kwa wanasheria itakuwa vema zaidi
 
True🤝
 
Back
Top Bottom