Ambaye amewahi kutumia Titan Gel kwa tatizo la nguvu za kiume anipe mwongozo

Graxsam

Member
Sep 23, 2021
83
94
Habari za mda wana JF

Samahani naomba kwa yeyote ambae amewahi kutumia titan gel anipe muongozo kama kweli ilimletea matokeo ni hayo tu.
 

Unahitaji msaada mkubwa wa kisakolojia...naweza kukusaidia ukapona issue ya saikolojia..andaa fungu. Naona tatizo lako linaenda kumaliza mwaka tangu ulete uzi wa kwanza
 
Back
Top Bottom