Amazing facts zitakazo kuacha kinywa wazi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,788
107,524
>>Mate ya binaadam yanaweza kuwa sumu.
>>Mwanamke ni kiumbe kipole kupita vyote na ni kiumbe kikatili kupita vyote. (Binaadam)
>>Chakula kinachukua sekunde saba kufika tumboni.
>>Unapo fariki enzymes zinazo digest chakula baada ya siku tatu zinaanza kukula.
>>Akili hutumia dk 15 kumalizia shughuli za mwili pindi unapofariki.
>>Inakadiriwa kua kidole gumba cha mgu wa mwanaume ukikizidisha mara 3 ndio unapata urefu kamili wa uume wako.
>>Wanawake wameshamaliza kusoma post hii
>>Mwanaume bado wanalinganisha vidole vyao na uuume.
Hahaaaa najua nimewakamata, kama nimekubamba gonga like.
"Akili sukuma moyo, moyo sukuma damu"
 
Sie wengine labda tulinganishe miguu ya punda na uume zetu, maana kidole cha mguu kidogo hata mara sita kuliko uume
 
Mi nimevaa jeans hapa naanzaje kulinganisha uume na dole gumba!

Labda ingekuwa tunalinganisha na papuchi ningevua nianze kulinganisha
 
Moyo Sukuma Usingizi na nilale na si Vingine

√√kila nikizidisha vidole vyangu naona kama leo kama siku kuu ya wajinga anyway
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…