Thread Starter JF-Expert Member Mar 16, 2017 1,370 1,032 Aug 4, 2017 #2 Perfect Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
Perpendicular JF-Expert Member Jul 5, 2015 1,494 1,181 Aug 4, 2017 #3 Kwa dereva wetu hawa wa bongo mbona itakuwa hatari
kijana wa leo JF-Expert Member Nov 28, 2011 2,916 7,164 Aug 4, 2017 #4 Hiyo ni Engineering ya kipuuzi, siku zote kazi ya engineer ni kurahisisha jambo gumu kuwa rahisi, huwezi kupanda mlima, ushuke afu upande tena kama inavoonekana kwenye picha.
Hiyo ni Engineering ya kipuuzi, siku zote kazi ya engineer ni kurahisisha jambo gumu kuwa rahisi, huwezi kupanda mlima, ushuke afu upande tena kama inavoonekana kwenye picha.
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Aug 4, 2017 #5 Madereva wanaiogopa? Mbona iipo empty fail to plan = plan to fail.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Aug 4, 2017 #6 Perpendicular said: Kwa dereva wetu hawa wa bongo mbona itakuwa hatari Click to expand... Hapo inaonyesha pembeni kuna kingo hata likizingua kuporomoka haliwezi. -Ndumilakuwili-
Perpendicular said: Kwa dereva wetu hawa wa bongo mbona itakuwa hatari Click to expand... Hapo inaonyesha pembeni kuna kingo hata likizingua kuporomoka haliwezi. -Ndumilakuwili-