Amani yatawala. Hamad Rashidi asema waliosusa hawana madhara

Na siku za Hamad Rashid duniani zinahesabika, tusiangalie hili upande mmoja. Nakuna kitakachobaki kwenye mgongo Wa ardhi.
 
Hamadi Rashid anayesema CUF hawana madhara duh.Hongera zake maana naona alichokihitaji ni Umakamu amaupata.Lakini issue ya usaliti itamtafuna tu.
 
kwani waliosusia walisusa ili kuleta vurugu



hamad rashida kadhihirisha kuwa njaa ni mbaya sana
 
Nilifikiri ni gazeti kama Mwananchi, Nipashe, Mtanzania daima, Mwanahalisi au Majira KUMBE gazeti lenyewe hili? Hivi lina WASOMAJI kweli? labda akina ze Lumumbazz kama akina simiyu yetu, faiza fox na......
 
Hivi kuna mtu aliyesusa ili kuwe na madhara?? Au ndio kuendelea kumchokoza mtu aliyejiepusha na ugomvi tayari??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…