KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,988
- 72,185
Sehemu yoyote ukihubiriwa kuwa kuna amani, inahitajika kupimwe amani ile imeleta nini kama ambavyo vita huleta hasara basi amani nayo lazima ipimwe kuwa imeleta maendeleo kiasi gani..
Ikiwa muda mrefu wa amani umepita na hakuna maendeleo yanayo aksi muda basi kuna namna mmekwama ama kuna hujuma!.
bila maendeleo ktk jamii ama nchi na mnaambiwa kuna amani basi mjitafakari sana!.
Si picha nzuri kuwa na amani ya muda mrefu huku mkiwa nyuma kiafya,kiuchumi, miundombinu,elimu n.k
Ipo siku huo muda mtakuja kuulipia msipojitathimini.
amani isiyokuwa na maendeleo huwa pumzi yake ni ndogo sana!, na msipoangalia mnaweza mkailipa kwa damu ama jasho au namna yoyote tu!.
Uzi tayari na sindano tayari.