BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Naomba Mhusika awawajibishe na kuwakumbusha Askari wa geti la kuingilia wagonjwa. Shida ipo wakati wa kutoka ukiwa na Chombo Cha usafiri,unaulizwa maswali haya ( lazima ujibu Ili ufunguliwe geti)
1) Umetokea kitengo Gani Cha matibabu?
2) Unalipa Kwa Bima ya Afya au Hela taslimu?
3) Leta kadi ya bima ya afya niangqlie au risiti uliyolipia.
Nilienda asubuhi, kumuona mgonjwa,nimekutana na shida hiyo mara nyingi kila ninapotoka
Naomba ieleweke swala la kwenda hospital ni binafsi na faragha ya mgonjwa,sio Matangazo Kwa Kila mtu.nimewahi enda Mhimbili,Temeke sikupata hayo Maswali.
Walinzi wakague gari kama ikihitajika sio kujibu maswali ambayo hayana Msingi Kwa Mlinzi.