Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,016
Nyuzi zinaanzishwa za kumsingizia Membe mambo ya uongo kabisa. Yaani mtu anasema Membe alikuwa na ushawishi? Why mumsingizie marehemu uongo?
Kama ana mabaya yake naye ni binadamu hakuna mkamilifu ila si vizuri kumsingizia uongo. Mwingine anasingizia Membe alikuwa smart kichwani... Unamtizama unasema huyu haoni kama anapata dhambi kumkebehi marehemu?