Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari kama hizi zikikosaga picha hazinogagi ataAliyewahi kuwa katibu wa jimbo la Segerea kupitia CCM, na kada maarufu wa chama cha CCM ndugu Ramadhani Mwami, amejiunga rasmi na CHADEMA.
Halfa fupi ya kumpokea Ndugu Ramadhani, ilifanyika kata ya Tabata DSM na kushuhudiwa na uwakilishi wa uongozi wa jimbo Segerea na uongozi wa kata ya Tabata, ambapo ndugu Mwami aliambatana na wanachama 5 walioamua kwa dhati kujitoa CCM baada ya kuona mabadiliko ya kweli hayapo humo.
Chama kilimsimika rasmi ndugu Mwami kama Mjumbe namba moja wa mtaa wa Mtambani na kuweka bendera nyumbani kwake, na kilimkaribisha yeye na wenzake kundini na kuwahaidi ushirikiano nao kwani CHADEMA ni chama cha umma na ni familia moja.Ali
Mkuu siyo kila habari inakua na pictureHabari kama hizi zikikosaga picha hazinogagi ata
Hizi najua siyo habari njema sana kwenu vumilieni tuKatibu wa Jimbo kazi daah!! Kesho lazima kwenye magazeti yetu pendwa Tanzania Daima na DIRA yataandika kigongo wa CCM kajiunga na Chadema.
Kitwanga nae anaweza kuja???Habari kama hizi zikikosaga picha hazinogagi ata
waimeze hivo hivoHizi najua siyo habari njema sana kwenu vumilieni tu
Katibu wa Jimbo kazi daah!! vyeo vingine bana kesho lazima kwenye magazeti yetu pendwa Tanzania Daima na DIRA yataandika kigongo wa CCM kajiunga na Chadema.
Hiyo ndio zile ngumi zilizofumka kwenye kugombea posho ya mbio za mwenge kinondoni ?
Heheh umewapata kweli mkuu
Kigogo huyu mkuu kwa eneo husikaKatibu wa Jimbo kazi daah!! vyeo vingine bana kesho lazima kwenye magazeti yetu pendwa Tanzania Daima na DIRA yataandika kigongo wa CCM kajiunga na Chadema.
"wose"