NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,573
- 13,408
Ushindi wa Simba sc dhidi Jwaneng galaxy kwa magoli 6 kwa Nunge isiwe kichaka Cha kuwaficha wachezaji wenye viwango vibovu. Natoa big Yes kwa kipa AYUBU, INONGA & CHE FONDO.
Big Yes kwa mabeki wa pembeni SHOMARI & MOHAMED HUSSEIN.
Bila kumsahau kitasa aliyekua anazunguka dimba la kati kiungo mkabaji NGOMA mwamba kamwaga jasho sana hakika kaupiga mwingi anastahili big Yes.
Nitakua nani Kama nitamsahau mwamba wa Lusaka (CHAMA) kwa kazi kubwa aliyoifanya goli moja na assist hakika ni mwamba na anastahili sifa.
Saidoo ntibazonkiza (babau) anastahili pongezi huyu mzee anazeeka na utamu wake nilichokiona Jana kilinikumbusha kiungo matata NIYONZIMA aliyeagwa kwa heshima pale LUPASO.
hayo yote yakifanyika kwa Juhudi Kubwa wachezaji kukaba na kupata mipira ilikua inafia/kupotea katika miguu ya JOBE Hana umakini anapokua kwenye lango la mpinzani, mchoyo na mwenye tamaa ya kufunga na hajui kujiposition haswa timu inapokua na mpira inafanya anatengeneza offsides.
JOBE & FREDY funga funga kwa kiwango wanachokionesha kwenye timu kubwa Kama Simba sc hawastahili kuwa pale kwani wanakiwango kidogo sana kuliko Moses Phiri aliyetolewa kisiasa.