Ndo uhalisia mkuu🤣😅🤣Kwamba shemeji akimsifia anasema na hapo bado ngoja nitumie SMS zingine
Tatizo lako huombi nambaKinachoniudhi unaweza kupiga simu huduma kwa wateja anapokea dada sauti tamu ukirudia kupiga inapokea njemba inaniumiza Sana hii😎