Aliyekuwa Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani atoroka na dollar za kimarekani milioni 169

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
20,234
46,984
Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169.

Ubalozi wa Urusi ulisema Jumatatu, Ashraf Ghani atoroka Afghanistan na magari manne na helicopter yaliyojaa pesa. Inasemekana pia ilibidi aache hela zingine nyuma kwasababu hazikuweza kuenea.

Ashraf Ghani amepokelewa Dubai na kupewa hifadhi ya ukimbizi.

Source Dailymail:

Russia's embassy in Kabul said on Monday that Ashraf Ghani had fled the country with four cars and $169million in his cash-stuffed helicopter. He reportedly had to leave some money behind as it would not all fit.
 
Hizo Ni US tax payers .
mbona Haya hivyo ni chache sana
 
Safi kabisa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Tumeamkia ofisini japo hazina haina hela!😁😁😁

20210819_080526_temp.jpg
 
Vyombo vya habar vya kimagharibi wanamtambulisha km aliyekuwa rais inamaana wameshamkatia tamaa
 
Chanzo cha taarifa ni Urusi.

Eti gari nne na helcopter zote zimejaa hela.

Propaganda ni kitu kibaya sana.
 
Angefanyaje Sasa jamani Mambo yalishachacha tayar, kinyume na hapo muafghan huyo angekuwa anachimbua mitaro ya maji machafu tu huko UAE...
 
Back
Top Bottom