TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Aliyekuwa mkurugenzi wa BOT, Amatus Liyumba afariki dunia

Dah habari hizi ni za kweli??

Source ya kifo ni nini, au kale kaugonjwa ketu pendwa??
Maana kuna tetesi kuwa alikuwa carrier mzuri tu na kawasambazia wasanii wa bongo movie wa kuotosha, kwa kuwahonga magari mazuri mazuri

R.IP anyway, japo marehemu hasemwi vibaya, ila ufisadi ulioufanya BoT ni mzito mno na umeua wengi sana kwa kukosa madawa hospitalini, haki za wazee wastaafu kukosa mafao yao na mengine kibao, cha ajabu hela zote umeziacha wengine wakizitafuna.
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa BOT Amatus Liyumba afariki dunia
ALIYEKUWA MKURUGENZI NA MTUMISHI WA BENKI KUU BOT, AMATUS LIYUMBA AMEFARIKI DUNIA, MSIBA UKO NYUMBANI KWAKE TRIPLE SEVEN MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…