Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,724
- 4,474
Wakuu,
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa yaani hata akiwa na miaka 14 au 15 tu anafaa kuingia kwenye ndoa.
Keissy anasema kwamba hata yeye alimuoa mkewe ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 15.
Nitashangaa huyu mpuuzi akirudi tena 2025 kama mbunge, tuna uhalalisha upedophile kwa visingizio vya dini utafikiri hatuna akili ya kupembanua vitu na kuona hiki kinafaa ama lah.
===
"Mimi kama muislamu, Uislamu unasema mwanamke akishavunja ungo anaweza kuolewa. Mimi kama muslamu naamini kwamba miaka 14, 15 mwanamke anafaa kuolewa. Mi mwenyewe nimemuoa mke wangu akiwa na miaka 15"