TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha, Wilhelm Gidabuday afariki dunia kwa kugongwa na gari

southg

Member
Sep 9, 2024
22
52
Wilhelm Gidabuday.jpg

Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake​

Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari akirudi kwake eneo la Maji ya Chai jijini Arusha.

Taarifa kamili tutawaletea.

Apumzike Kwa amani

===== ==

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday amefariki dunia.

Inaelezwa Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari eneo la Maji ya Chai, mkoani Arusha.

Mjumbe wa Riadha kanda ya Mashariki, Alfredo Shahanga ameiambia Mwananchi, kiongozi huyo amefariki baada ya kugongwa kwenye eneo hilo akiwa ameshuka kwenye gari akielekea nyumbani kwake.

"Ni kweli Gidabuday hatunaye," amesema Shahanga kwa masikitiko.

Shahanga anasema kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hili, Gidabuday alipoteza maisha hapo hapo baada ya kugongwa.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi

Pia soma
 
View attachment 3092230

Apumzike kwa amani, nakumbuka mwaka 2012 aliahidi kuchoma vyeti vyake vyote hadharani kama Tanzania ingeambulia hata medali Moja. Hakuchoma sababu hakuna medali iliyopatikana.
 
Mbongo mpe kichwa cha habari tu mengine atajazia,wewe unayoandika hapa ukibanwa unaweza ukayathibitisha?

Nina uhakika tofauti ya kiumri kati yako wewe na Bayi humjui kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka kutuaminisha hapa na wewe ndiye mchawi kujifanya unawajua sana watu
🙄
 
Back
Top Bottom