Aliyekuambia unifuatilie nani?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,797
6,795
Habari
Jana katika harakati za kutaka kuchepuka kwa mlupo mmoja ambaye alikunywa bia zangu nyingi. Nilimwita sehemu ya tukio baada ya kutoka kazini huku nikivunga atokee. Kwa kweli hakutokea kabisa japo muda ulisonga sana.

Wife to be alinipigia simu kuna shida gani mbona umechelewa sana. Mimi nikajiuma uma kwamba nimemalizia kazi hapa nipo njiani. Niliondoka eneo la tukio nikiwa na hasira sana. Nikafika home nikachill. Baada ya kama nusu saa akani SMS uko wapi njoo nishafika. Nikatoka nje kwenda kununua vocha japo wife alihisi kuna kitu.

Baadaye nilimdanganya wife nimesahau bahasha ngoja niifuatilie. Nikachukua boda huyo nikaenda sehemu ya tukio. Huwa nina kawaida nikienda sehemu tata nashukiaga njiani. Ghafla nikamuona wife naye kapita na boda kama risasi hahaha nikacheka. Kumbe alikuwa hajaniona. Niliamua kurudi home ili nilete varangati la kwa nini anatokaga usiku bila taarifa.

Aliporudi alinikuta nimeshatia timu. Kidogo angekula kibano shenzi zake
kazi kunifuatilia na akome.

kuchepuka kipaji
 
pole sana mkuu!
Mkeo nae alitoka na alishikishwa ukuta na akarudi home fasta, then unajiona mjanja huku umechapiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…