carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,757 Apr 13, 2017 #1 wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa
wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,727 729,898 Apr 13, 2017 #2 Wee njoo tu mimi nimeshakulipia
Alisina JF-Expert Member Aug 9, 2016 4,128 4,346 Apr 13, 2017 #4 Hayo maandishi yako yamenifanya nikumbuke wimbo wa Dully sykes-Ashamapromise. Jamaa kanywaa bia za kutosha pamoja na vipapatio binti akatokomea mitini alikuwa kaahidi anakuja kulipa bill.
Hayo maandishi yako yamenifanya nikumbuke wimbo wa Dully sykes-Ashamapromise. Jamaa kanywaa bia za kutosha pamoja na vipapatio binti akatokomea mitini alikuwa kaahidi anakuja kulipa bill.
Dola Iddy Wa Chelsea JF-Expert Member Sep 26, 2014 2,120 1,510 Apr 13, 2017 #5 mshana jr we ni mzaramo yakhee?
Mpemba Mimi JF-Expert Member Jul 6, 2013 1,595 2,359 Apr 13, 2017 #6 carcinoma said: wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa Click to expand... Njoo hapa Sinza karibu na Shule ya Mapambano upate Heineken na Amstel kwa bill yangu.
carcinoma said: wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa Click to expand... Njoo hapa Sinza karibu na Shule ya Mapambano upate Heineken na Amstel kwa bill yangu.
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,757 Apr 13, 2017 Thread starter #7 Mpemba Mimi said: Njoo hapa Sinza karibu na Shule ya Mapambano upate Heineken na Amstel kwa bill yangu. Click to expand... hahaa mimi ndio naamka na hangover sasa hivi
Mpemba Mimi said: Njoo hapa Sinza karibu na Shule ya Mapambano upate Heineken na Amstel kwa bill yangu. Click to expand... hahaa mimi ndio naamka na hangover sasa hivi
GODZILLA JF-Expert Member Dec 26, 2014 5,910 10,534 Mar 31, 2019 #8 carcinoma said: wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa Click to expand... Akili za mlevi hizi! Ndio maana unasapoti ufuska na ubakaji!
carcinoma said: wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa Click to expand... Akili za mlevi hizi! Ndio maana unasapoti ufuska na ubakaji!
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,757 Mar 31, 2019 Thread starter #9 Zilla The G said: Akili za mlevi hizi! Ndio maana unasapoti ufuska na ubakaji! Click to expand... Dogo tuma namba PM ya mpesa nikutumie hela ya chai.. Njaa inakusumbua Sent using Jamii Forums mobile app
Zilla The G said: Akili za mlevi hizi! Ndio maana unasapoti ufuska na ubakaji! Click to expand... Dogo tuma namba PM ya mpesa nikutumie hela ya chai.. Njaa inakusumbua Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,050 120,375 Mar 31, 2019 #10 carcinoma said: Dogo tuma namba PM ya mpesa nikutumie hela ya chai.. Njaa inakusumbua Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Acha masihara mzee Ova Sent using Jamii Forums mobile app
carcinoma said: Dogo tuma namba PM ya mpesa nikutumie hela ya chai.. Njaa inakusumbua Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Acha masihara mzee Ova Sent using Jamii Forums mobile app
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,757 Mar 31, 2019 Thread starter #11 mrangi said: Acha masihara mzee Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu dogo tangu asubuhi ananifwata kila thread kunitukana Sasa nimeona atakuwa na njaa tu..inabidi nimsaidie ili aache kutukana watu Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi said: Acha masihara mzee Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu dogo tangu asubuhi ananifwata kila thread kunitukana Sasa nimeona atakuwa na njaa tu..inabidi nimsaidie ili aache kutukana watu Sent using Jamii Forums mobile app