Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 311
- 598
2015.
“Kwa kukosekana kwa saini ya mtu aliyeandika ushahidi huo, haiwezi kusemwa kwa uhakika kwamba kilichomo kwenye rekodi ni maelezo ya kweli ya ushahidi wa shahidi, mwenendo mzima wa kesi uliorekodiwa baada ya usikilizwaji wa awali unavunjwa kwa sababu sio halisi"ameongeza
Jaji huyo alifafanua kuwa hiyo haitoi uhakika kwamba kesi hiyo ni ya kweli na ni dhahidi kuwa dosari hiyo haiwezi kutibiwa na kifungu cha 388 cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai hivyo wanaona dosari hiyo imeharibu mwenendo mzima.
Kuhusu kusikilizwa upya kwa kesi hiyo, baada ya kuchunguza suala hilo kwa kina wanakubaliana na wakili wa mrufani kuwa kuna makosa katika kesi ya mashtaka ambayo ni msingi wa kesi hiyo ilikuwa na tofauti kubwa na ushahidi uliotolewa.
Amesema shahidi wa kwanza hadi wa tatu wa mashtaka walieleza eneo lililotokea tukio ni Kijiji cha Kigwe huku shtaka likieleza tukio limetokea Kijiji cha Mapinduzi.
Jaji Muruke amesema hawaoni ni sawa kwa manufaa ya haki kuamuru kusikilizwa upya kwa sababu ya makosa ya ushahidi wa upande wa mashtaka uliopo kwenye kumbukumbu ya rufaa na kuwa amri ya kusikilizwa upya itafungua njia kwa upande wa mashtaka kuziba mapengo yaliyopo.
Jaji Muruke amesema kwa matokeo na sababu hizo wanaruhusu rufaa kwa msingi wa nne wa sababu ya kukata rufaa, kufuta hukumu na kuamuru Cheni kuachiliwa huru