ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 124
Mpenzi wangu alinisaliti nikagundua nikaamua kumuacha na nikaachana nae kwa mda wa miezi mitatu.Baadaa ya hiyo miezi akarudi kuniomba msamaha kwamba tuludinane alitaleza ndo maana aliyafanya hayo.
Kwahiyo hataki kunipoteza na anajutia kosa hilo kosa na ananipenda ndioo maana karudi kuniomba msamaha.Mimi kwakuwa nilikuwa nampenda nikamsamehe but with conditions.
Sasa basi tangu nimeamua kuwa nae kwa mara ya pili tena kila anaponiambia kitu nakuwa simuamini hivi nahis ni yale yale.
Maana kama nilimuheshimu na nilimthamini kama mpenzi wangu akanicheat atashindwaje kufanya tena but all in alinihakikishia kwamba kabadilika sio yule wa zamani akiwa now anamiaka 31 na mim 25.
Hivyo basi wana jukwaa la mapenzi naombeni mawazo yenu kwa hili nfanyaje ili nisahau kwamaana kila nkikumbuka am not feeling good.