Alinidanganya kaenda Dodoma kumbe yupo Dar, anataka nimtumie nauli

kwenye mahusiano nimejifunza kutomuamini mwanamke kwenye suala la hela.
wiki iliyopita niliombwa hela ya kununua simu upendo ukaniponza nikamtumia na simu hakununua kila nikitaka nikutane naye ananikwepa na kutaja location za uongo jana ndio akakiri kuwa simu hakununua ila hasemi amefanyia nini.
Kiukweli nimekoma hela ile bora ningemtumia mamkubwa kijijini kikubwa nimepata funzo la maisha na hawa viumbe.
Kuna siku inaonekana aliomba hela kwa watu zaidi ya mmoja akachanganya madesa. Naishia tu hapa.
 
Kuna mmoja alikuwa ana mute txt zngu kaamua kumpotezea..leo anamitxt kuwa amenimiss...frm knw whr....baadae kaona ukauzu mwngi ndo ananambia birthday yake ni leo....kwa namna txt ilivyo kuna maboya washapigwa hela huko kwa kutumua zawaidi..ila mimi txt ya kumpongeza ilimtosha sanaa
 
🤣🤣🤣🤣Usithubutu, mm tu enzi zangu, nipo zangu Moro naenda dar mara rafiki angu wa Dom akanipigia nikamwambia naenda dar subiria nikirudi Moro nitakutumia kesho kutwa🤩. Akabadili sentensi naomba nitumie nauli naja dar tuonane huko huko....kama utani Mimi nikatuma ofisini shabiby nikamwambia nenda shabiby utaikuta nauli.....mara paaap! Saa Saba usiku mama huyu dar natoka nje ya lodge kiumbe kaja...nimekoma kujaribu binadam 😄😄😄😄
 
"Aliniambia nitume 120,000/= Ili anunue magauni ya sikukuu ya Christmas Kwa ajili ya watoto,kumbe fedha za kununua magauni alikua Nazi na alishanunua nilizomtumia akaendekeza ujenzi wake wa Siri site"NILICHUKIA SANA!!!Pia like shamba la miti ambalo tulishirikiana kupanda huko kusini wameshirikiana na dada yake kuvuna miti yote na kutumiana fedha bila Mimi kujua,na hizo Hela zote zimeenda kwenye ujenzi wa siri!!!

Halafu Kwa sauti Kuu anabwatuka niende kwao kujitambulisha Ili nilipe mahari na kumuoa!Sasa najiuliza nikifanya hivyo asemavyo nitakua naoa mke au jambazi!!!!!?

JAMAA ALILALAMA sana hadi nikamuonea huruma!!!

Kwakweli kazi iendelee !na mitano Tena kwa mama!!
 
mnashirikiana kwenye mipango ya maendeleo kama mtu na nan yake? Nimeona hapo mpaka mlishirikiana kupanda miti
 
"Aliniambia nitume 120,000/= Ili anunue magauni ya sikukuu ya Christmas Kwa ajili ya watoto,kumbe fedha za kununua magauni alikua Nazi na alishanunua nilizomtumia akaendekeza ujenzi wake wa Siri site"NILICHUKIA SANA!!!Pia like shamba la miti ambalo tulishirikiana kupanda huko kusini wameshirikiana na dada yake kuvuna miti yote na kutumiana fedha bila Mimi kujua,na hizo Hela zote zimeenda kwenye ujenzi wa siri!!!

Halafu Kwa sauti Kuu anabwatuka niende kwao kujitambulisha Ili nilipe mahari na kumuoa!Sasa najiuliza nikifanya hivyo asemavyo nitakua naoa mke au jambazi!!!!!?

JAMAA ALILALAMA sana hadi nikamuonea huruma!!!

Kwakweli kazi iendelee !na mitano Tena kwa mama!!
120k kwenda kwenye ujenzi unalalamika?
 
Namtazama hapa yupo salon demu alieniambia nimtumie nauli aje kutoka Dodoma. Na anachat na mimi hapa nimtumie haraka ili awahi kurudi home ajitayarishe. Aliniambia ameenda Dom kwa shangazi yake.

Ila itabidi turudi kweli VETA ili tujifunze ujasusi wa kujinasua dhidi ya vizinga
Mtumie nauli ya dala dala na usiseme kitu uone atasema au kufanya nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom