Aliniacha baada ya yeye kupata kazi, sasa nimepata Mnyarwanda anataka turudiane

Pa1 sana jalii demu mkali sana wa kinyaruanda
 
Kwa hiyo yeye alikuacha baada ya kupata mafanikio (kazi), na wewe unataka kumpotezea baada ya kupata mafanikio (demu wa kinyarwanda)?!
 
WANAWAKE HOVYO SANA ANAFANYAKAZI BADO ANATAKA MAHITAJI KWA MWANAUME WAKE TENA AMBAYE HANA KAZI,NAKUSHAURI MPOTEZEE

Wanawake ndio walivyo ndio maana tukaambiwa tuishi nao kwa akili.
Hela ya mwanaume ni ya wote ila ya mwanamke ni yake.
Wanaume tunakaz sana ktk dunia hii
 
Hahahaaa jamaa kadate na teenager + 1, mpaka afike 25 utakuwa umelia kila aina ya chozi na akifika 27 utakuwa na BP!
Dawa yao ni mimba tu atakutafuta kama mtu aliye misplace nauli ndani ya daladala.
 
Hahahahahaha
Kaka tunashukuru kwa hadithi nzuri ya malovee inayokuhusu mana huenda imefunza baadhi ya watu kwa namna kadhaa, ila ukisema upewe ushauri mmh! mbona kama we mwenyewe ushajipa kutokana na maelezo ya hadithi yako, au!!?
 
Eti mnyarwandaaa utaweza? Damu hii hainaga miwivu ya kibongo na vile hujui "byuka twichaye" kazi unayo. Anyway nzabandola! Kwanza "abailu" mlivyo na mivivu utaweza? kusalimiana tu na watu wa kwao wivu utakubana kama sio vima. Maana kusalimiana ni kukumbatiana haijalishi ni nani wote na baba mkwe twende kazi kila salamu ni kukumbatiana tena tightly. Labda kama sio wa sehemu ninayotoka mm. Lastly acha ubahili kumyima mwanamke elfu 50 ni aibu.
 
Nianzie hapa kwanza halafu ntaendelea. KUMGWAYA maana yake nini poster?
 
Sioni kama una sababu ya kupiga u-turn. Achana na ex wako maana kazunguka na kugegedwa huko na sasa ndo anarudi kwako. Endelea na huyu mnyaru ila naye usijiaminishe kwasababu bado ni mdogo na ana uwezekano mkubwa kubadilika hasa akianza chuo. Hii ni kutikana na uzoefu tulio nao kwa mabinti wanapokwenda chuo huwa limbukeni ma ghafla kupenda maisha ya juu. Kuwa naye kwa uangalizi wa karibu na akibadilika naye tupilia mbali. Wasichana wengi wanajitambua baada ya kuvuka miaka 25. Kabla ya hapo wengi wao ni pasua kichwa.
 

Tatizo sio sh. 50 ni tabia aliyoonyesha baada ya kupata kazi. Hakumuona huyu jamaa wa thamani kwasababu yeye alipata kazi na mwenzake akamuona kama mzigo. Kitu gani kimemfanya atake kumrudia.
 
Huyu demu namjua aise na mie nnilikua nae kampuni moja ya research moro......
 
Ah kajirudisha mwenyewe...wee hapo wala usijipe presha...mgegede tuu alafu mwambie we can be f.uck buddies.
 
Mmmm utoto Raha sana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…