Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,426
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jackob, baada ya kuachiliwa kwa Dhamana kutoka selo alikoshikiliwa kwa siku 20, amekuja na Mpango wa kuwasaidia Mahabusu na Wafungwa wenzake.
Ametangaza kuwalipia faini Baadhi ya Wafungwa wanaoshikiliwa kwa kukosa hela ya kuwatoa jela, Na pia ametangaza mpango kabambe wa kuwawekea Wanasheria baadhi ya Mahabusu na Wafungwa.
Hakika mpango huu ni mzuri sana, Hii ni kwa sababu kwenye nchi za Kidikteta, Kama ilivyo Tanzania hakuna aliye salama.
Mpango kama huu ukiwa endelevu siku moja unaweza kukusaidia hata wewe , maana hatujui ni nani atatekwa ama kukamatwa kesho na kuchaniwa nguo zake, Shetani hana Rafiki usijione uko salama kwa vile labda umevaa nguo za kijani, Muulize Nape Nnauye.
Ndio Maana Mimi na Marafiki zangu 10 (idadi yaweza kuongezeka), Tumeamua kusaidia hapo alipoanzia Bonny
Mungu Ibariki Tanganyika.
Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu