Alikiba ajifunze lugha ya kiingereza, ameshakuwa msanii wa kimataifa

Hata hivyo mastaa wangapi tunaona wanatembea na wakalimani wako,embu tujiamini na kile tulichonacho na kujijua Kwa ufasaha zaidi kuliko kuendelea kuwa watumwa Wa fikra kiasi hiki....
 
Wakalimani kazi yao ni nini? Sio lazima kujua lugha zote duniani. Kinachohitajika ni uwezo wa kufanya mambo.
 
Je wewe ukiambiwa hotuba ya dakika tano kwa kijerumani utaweza? Anza kujifunza sasa.
 
Kabla hujamzungumzia Ali Kiba hebu jifunze kwanza ww Kiswahili.
 
MTU anajua ki franch ashindwe English try to be serious otherwise grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…