Aliebuni kupokea mshahara mwezi hadi mwezi alaaniwe ona upwiru unavyonitesa na hela sina

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,781
5,861
Jana nimetoka zangu kazini jioni kuna jamaa yangu kanipitia, mr pipa kuna ka elfu 20 hapa tukale mtungi.

Mimi mambo si haya na ukicheki nipo ugenini mke nimemuacha home, basi nikaoga zangu huyo viwanja, mwamba akaagiza kumi na tano ikakata ile pombe inaanza kufanya kazi ikakimbilia chini kuangalia pembeni, pisi kama zote.

Nikamwita mmoja nikamwambia unatumia kinywaji gan akasema soda ya kopo kuangalia mfukoni nina buku tatu. Yaani mfanyakazi jina kubwa afu nina afutatu.

Si unajua tarehe za katikati hatuna kitu nikaishia kumlipia soda ya kopo buku jelo na kuaga kwamba nitalejea. Natoka pale suruali imetuna kwa mbele. Aisee nililaani sana hiki kitendo cha kupokea mshahara.

Wakuu mnikopeshe jamani tarehe 22 nitawalipa ukitoka mshahara, jaman watumishi wenzangu kazi tunayo
 
Jana nimetoka zangu kazini jioni kuna jamaa yangu kanipitia, mr pipa kuna ka elfu 20 hapa tukale mtungi,.

Mi mambo si haya na ukichek nipo ugenini mke nimemuacha home, basi nikaoga zangu huyo viwanja, mwamba akaagiza kumi na tano ikakata ile pombe inaanza kufanya kazi ikakimbilia chini kuangalia pembeni, pisi kama zote .

Nikamwita mmoja nikamwambia unatumia kinywaji gan akasema soda ya kopo kuangalia mfukoni nina buku tatu. Yaani mfanyakazi jina kubwa afu nina afutatu .

Si unajua tarehe za katikati hatuna kitu nikaishia kumlipia soda ya kopo buku jelo na kuaga kwamba nitalejea .Natoka pale suruali imetuna kwa mbele. Aisee nililaani sana hiki kitendo cha kupokea mshahara.

Umeamua kufurahisha kijiwe au uko serious mkuu.
 
1. Achana na mambo ya kusubiria mshahara.

2. Tafuta danga akupe hela kila asubuhi baada ya morning glory
 
Jana nimetoka zangu kazini jioni kuna jamaa yangu kanipitia, mr pipa kuna ka elfu 20 hapa tukale mtungi,.

Mi mambo si haya na ukichek nipo ugenini mke nimemuacha home, basi nikaoga zangu huyo viwanja, mwamba akaagiza kumi na tano ikakata ile pombe inaanza kufanya kazi ikakimbilia chini kuangalia pembeni, pisi kama zote .

Nikamwita mmoja nikamwambia unatumia kinywaji gan akasema soda ya kopo kuangalia mfukoni nina buku tatu. Yaani mfanyakazi jina kubwa afu nina afutatu .

Si unajua tarehe za katikati hatuna kitu nikaishia kumlipia soda ya kopo buku jelo na kuaga kwamba nitalejea .Natoka pale suruali imetuna kwa mbele. Aisee nililaani sana hiki kitendo cha kupokea mshahara.

Wakuu mnikopeshe jamani tarehe 22 nitawalipa ukitoka mshahara, jaman watumishi wenzangu kazi tunayo
Ukitoka mshahara wako leta nikuwekee harafu niwe nakulipa kila weekend
 
tukukopeshe ukazini ukishamaliza kukitupa unafikiri utakumbuka kuwa unadaiwa...? mzinzi hakopeshwi maana ukishakitupa huwezi kuamini hata kama ulikopa kisa hicho kitu..😂
Hio science ya ajabu sana, ukishapiga bao akili huwa ni kama imeji factory reset, ni kama umetoka kuzirai sasa umezinduka na unajaribu kung'amua mambo "hapa niko wapi?"

Upwiru usikie tu...
 
Ukiona umeajiriwa na mshahara wako wa mwezi uliopita hauna uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi unaofata acha kuendekeza starehe,. Save pesa utumie kama mtaji wa biashara
 
Fanya shughuli nyingine zitazokuingizia kipato tofauti na mshahara yani wekeza na kwingine

Cc Smart911
bora huku mkuu huko kwenu stress huku kwetu ikitoka haina den kusema nikila mtaj nafirisika huku tuna kula bata siku 5 tunateseka siku 25 mambo murua
 
Ukiona umeajiriwa na mshahara wako wa mwezi uliopita hauna uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi unaofata acha kuendekeza starehe,. Save pesa utumie kama mtaji wa biashara
mzee baba mshahara wenyew laki 8 mara makato napokea laki moja unusu kwahy unataka ukutane na mwingine nile afu 5 broo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom