Wanawake Ni pepo zetu sisi wanaume wametulea Wametuweka miezi 9
Tumboni mwao wamepitia changamoto mbali mbali kipigo masimango manyanyaso lakini walikuwa bega kwa bega nasi
Mungu awalinde nakuwapa afya wanawake woote duniani Nyinyi ni [HASHTAG]#malkiawanguvu[/HASHTAG] source @maalimseifshariff instgram