Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 395
Wakuu Assalam Alaykum hope wazima kwa ujumla..
Naomba niende kwenye mada direct..
Mimi ni beginner wa kununua bidhaa online sasa tarehe 28 mwezi wa 3 nilifanya transaction Alibaba kutoka CRDB kiasi cha $306 na $34 kwa tofauti ya week 1 hivi kulipia vifaa vyangu flani hivi sasa jamaa hawakuwa na stock nilisubiri mpaka mwezi wa 5 lakini wapi sasa mwanzoni mwezi huu nikaona ni open dispute ili wani refund, nikafanya hivyo na dispute ikawa processed uzuri supplier akakubali malalamiko yangu na tarehe 5 mwezi huu pesa ikarudishwa kwenye account yangu... kimbembe hiyo pesa kuonekana.. Wao Alibaba wamenipa ARN number inayo trace pesa yangu na.wamenishauri incase nisipoiona niende bank, Bank (CRDB) nimeenda ila hawajui namna ya kuitrace, so nipo njia panda sijui pesa yangu nitairudisha vipi.. so kwa yeyote atakaye weza nisaidia nitashukuru sana maana naelekea kukata tamaa kwa kweli
Hapo chini naambatanisha hizo.ARN number incase for reference..
Ahsanteni sana
Picha zimegoma kuwa uploaded.. ila kwa msaada nipo tayari kuzituma kwa yeyote na namna yeyote ile