Ali Kiba: Dully Sykes ni baba yangu kwenye muziki, kanitoa mbali sana

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059

ali kiba amedai kuwa dully sykes ndie mt aliyemhimiza kuimba na kumtia moyo kipindi ambacho hajatoka na alikuwa akimtoa hadi machozi, asipotokezea Dully anamuibukia nyumbani kwa kuwa alikuwa hana simu,
Sio Ali kiba tu aliyemfagilia Dully kumtoa hata Diamond alishamfagilia na kumuita ndio mhasisi wa bongo fleva na amefanya nae kolabo kadhaa
 
Baba ya muziki Dully Sykes.

Naikumbuka ile ngoma yao Kuteseka nimechoka kitambo enzi zile Ali Ana-rap.

Chid Beenz,Shetta,Nuh Mziwanda,Ab Skills,Mr.Blue,Queen Darleen,Diamond,Pancho Latino,Hakeem 5,Young D hawa wote wamepita kwenye mikono salama ya brother Mwanaserere Dully Sykes.
 
Ajitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Huyu hapendi show off kama yule jamaa yenu wa Madale kila kitu lazima akaseme kwenye media.
 
Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.
 
Uwiiiiiiii mpendwa mzaramo give my bae break pls!
Sio kwa kumuandama huku

Unanikumbusha enzi zetu mimi nae tulivyokuwa tunaumana.
 
Vizuri huyu jamaa anaweza kuwa daraja la kuwapatanisha hao watu kama kweli haziivi
Bifu lao ni la tija sio la uhasama wa kijinga. NI KAMA lile la sikinde na msondo, au Khadija Kopa na Nasma Hamisi (rip). Kutokana na 'bifu' lao wao wanapiga hatua kwenye musiki na kipato, hata majuu mambo hayo yapo, kilabaho......
 
Back
Top Bottom