Ali Kiba atangaza rasmi kuanza ku-follow watu lakini kwa condition hii

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,689
Akiongea na Xxl ya Clouds fm amesema ndani ya mwezi huu atakuwa anamfollow mtu mmoja mmoja kisha ana muunfollow na ni kwa wachache watakaobahatika...



"Nimeanzisha utaratibu wa kuwafollow washabiki zangu kila wiki itakuwa namfollow mtu mmoja then na unfollow"

Huyo ndio King bhana!!
 
Kwani kuna mtu anajisumbua kumtaka am folow hadi anajipa presha ......... watu wanavitiki vya bluu wataangaika na yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…