Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

Mkali Ali Kiba, baada ya kufanyiwa figisu za nguvu, hatimaye amekabidhiwa tuzo yake ya MTV na kurejea nayo Bongo ambapo amepokelewa kwa shangwe JNIA. Harmorapa alikuwa miongoni mwa walimlaki na kama kawaida yake, akafosi kiki...
Tazama video...
 
Huyu harmo rapper mbona anapewa tension, hivyi kafanya nn ktk tasnia hii ya bongo fleva , yaani mdananda kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…