Wewe umebaki huko huko ama uliingia alfajiri kwa ungo?Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa
Karibuni mafai
Njaa au anashinda nini?Simba anashinda leo
Kama kaenda juani sisi twende Jibondo.Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa
Karibuni mafai
Ndio maana huwa mnapakatwa, no wonder wakina nyie ndio mlishauri gari lirudi kinyumenyume, mwisho wa siku kwa mwarabu japo ni lupaso mkachezea ukuniNafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa
Karibuni mafai
Yah hata mimi nina hisia hizoSimba anashinda leo
Ila kama kuna vimanyunyu flan hiv vimekatizaMganga wenu wa mvua nasikia alishakufa. Huyu wa sasa anabahatisha tu. Kaishia kutengeneza wingu tu π π π π π π π
Yaani wachawi sana simba. Ndiyo nimeviona nami. Naenda uwanjani nina Imani na Yanga. Wanaroga hata haya hawana.Ila kama kuna vimanyunyu flan hiv vimekatiza
Mimi nishapata was was leo tunaweza umia yangaYaani wachawi sana simba. Ndiyo nimeviona nami. Naenda uwanjani nina Imani na Yanga. Wanaroga hata haya hawana.
Mganga arudishe kuku? Au abaki nae tu?Mganga wenu wa mvua nasikia alishakufa. Huyu wa sasa anabahatisha tu. Kaishia kutengeneza wingu tu π π π π π π π
Leo naona imegoma kunyeshaa kazi wanayo.πMganga wenu wa mvua nasikia alishakufa. Huyu wa sasa anabahatisha tu. Kaishia kutengeneza wingu tu π π π π π π π