ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 142
- 149
ZOTE ZA AKILI.
"ZOTE ZA AKILI" ni project ama jina la Album iliyotoka Mwaka 2004, chini ya Usimamizi wa Akili the Brain ambae alikuwa ni mmliki , producer & msanii kutoka studio za " Akili Records " kwa usaindizi wa usambazaji wa kampuni inaitwa" F.K. Mitha & Sons Kinos Brothers Wananchi strores ..
Kampuni ambayo ndio ilikuwa inajihusisha na shughuli za usambazaji wa kazi za wasanii Enzi hizo. .
Hii ndio list ya nyimbo zilizokuwa zinapatikana katika Album hii inaitwa " ZOTE ZA AKILI" iliyotoka mwaka 2004.
Ni Album ambayo ilikutanisha list ya nyimbo za wasanii mbalimbali ambao walifanya kazi & project katika studio ya msanii & producer akili the Brain " Akili Records"
Moja kati ya " hit songs" zilizopatikana katika Album hii ni nyimbo inaitwa " Regina " kibao kilichompa umaarufu mkubwa sana msanii huyu "Akili the Brain" akiwa amemshirikisha marehemu " stev 2k ambae alikuwa ni member wa Crew inaitwa" mambo poa" Crew ya Muziki ambayo ilikuwa ina wasanii kama marehemu " John mjema & spinder " . Huku katika video " Ama shooting ya video hiyo , akionekana msanii " Ray C " ambae ndie alikuwa Video " Queen wa video hiyo..
msanii " Ray c" mwana Dada mwenye mvuto wa kufutia sana machoni mwa watu mwenye macho yenye style ya kurembua na kiono chake kisicho na mfupa, huku akili the Brain ikicheza na mwana Dada Ray C kwa style na miondoko ya kihindi Huku marehemu stev 2 k akitupeleka hadi Visiwani zanzibar , kisiwa kilichobarikiwa kuwa na wanawake wenye mahaba ya Dhati zaidi ya Nasma khamisi..
Ngoma hizo hizo ni kama ifuatavyo:
Side A.
1. Regina - ( Akili the Brain ft. Stev) 2k
2. Naweza
3. Zagga Zaa - ( Cash monyey)
4. Popote ( Angeel)
5. Regina instrumental
Side B.
1. Haipendezi ( Wakoka )
2. Mpenzi futa machozi ( Gs)
3. Namaindi ( Suma Rider & Atas 01)
4. Hawakudhani ( Maliki & Suma Rider)
5. Anani kunywa kunywa ( big jahman & madi pac)
Ni bonge Moja la Album iliyokutanisha list ya nyimbo Kali kutoka kwa Wasanii wakali Hapa Bongo mwaka 2004.
Naweza kusema ilikuwa ni " Album battel kati ya "Akili Records" Vs " Bongo Records" & mj Records ..
Maana hiki kipindi kila producer Enzi hizo alifanya kazi na wasanii kadhaa na kuunda Album moja , Album ambayo inakuwa imejumuisha kazi ama nyimbo za wasanii waliopita katika studio yake.
Mfano mzuri ni " Bongo Records " , Mj Records , lakini pia kwa Akili the Brain ndani ya studio ya Akili Records nae hakuwa nyuma..
Kwa ambae anahitaji ngoma hizi za kitambo karibu katika Group letu whatsApp , na kwa mawasiliano zaidi .
Mcheki mdau wetu wa Nguvu Shomary Byellah " old skools Music Ablums supply"
Kwa mawasiliano zaidi. +255 745307232.
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202