Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Huyu Mwamba sijui alipotelea wapi. Ni mmoja ya members ambao walifanya makubwa sana kwa Taifa hili. Hatumwoni tena.
nawe mpana..😂Amewekwa ndani na yule mtoto wa Obama
Ni mdogo wangu. We ndo yule demu wake aliyempa mimba humu JF? Mtoto anaendeleaje? Amekua? Mnawasiliana na bwana mdogo?Unafanana sana kitabia na huyo memba.
Kwani anaumwa?Yupo Dodoma Kwa matibabu zaidi
Mpana wapi? Fafanua.nawe mpana..😂
YUle mwamba sikuwahi mkatisha tamaa. Mimi nilimtia sana akaze mwendo atafanikiwa tu. Na sasa ame win life lipo fresh kwake.Wanajf bwana, wakati anaburudisha humu ndani tulikuwa busy kumkatisha tamaa aachane na mambo yale, amekubali sasa kuikata hiyo tamaa tunamtafuta, tumemkumbuka.
Urudi the don, hata mimi nimemmis😊
Civilian Coin
Mbona alikuwa fresh sana? Akili tu zilimzidijamaa alipata changamoto ya ugonjwa wa akili.
bila shaka yuko kwenye tiba sasa
Wote akili zenu mbili kasorobo.Ni mdogo wangu.