Hata bashite ataelewa tu.
K- kifo, ukiendekeza sana basi tambua kabisa kifo kipo karibu yako, kama si kifo chako basi cha watu wako wa karibu.
U- upotevu wa mali, pesa , uaminifu na hata utu pia hupotea kwa sababu ya kitu hiki. Yaani naweza kusema kama vile ni laana fulani lakini hapana kwasababu ni pendwa sana hasa kwa nyakati za baridi kama hizi.
Kwa ujumla ni hasara tu..
M- maradhi, Yaani maradhi kwako ni jambo lisilo epukika hata kidogo ukiwa tu muumini mzuri wa kitu hiki na mwisho wa siku ile herufi K itakutokea.
A- Aibu, kama hayo ya hapo juu yote yatakukosa basi hili la aibu lazima litakupata. Utakuja kuaibika mbele ya jamii tena mchana kweupe peee.
Unganisha hizo herufi kisha chukua hatua.