Nadiriki kukuita wewe kuwa umeweka rehani akili zako pale mtaa wa Lumumba.Si kweli...CCM iko tayari kukabidhi madaraka iwapo atatokea kiongozi wa upinzani anayeeleweka...
Ccm lazima ihakikishe inakabidhi madaraka kwenye mikono salama...hii ni kwa maslai mapana ya taifa,
MANENO YAKO YANGEKUWA KWELI LOWASSA ASINGESHINDA 40%. CCM TUNGEMPA 2% TU KWA JINSI TUSIVYOMPENDA ACHUKUE NCHI. LAKINI ALICHOPATA NDIO MATAKWA YA WANANCHI!Nikitafakari yaliyojiri Zanzibar katika uchaguzi uliopita na hasa nilipomsikiliza Maalim Sefu leo, aazidi kuzielewa kauli za Bulembo na Nape. Bulembo alisema, "Kuna jambo moja ambalo kamwe CCM hatuwezi kulifanya. Nalo ni kuruhusu Wapinzani kuingia Ikulu!" Haiwezekani CUF kuingia Ikulu hata kama wamechaguliwa na wengi! Nape yeye alisema, "Lazima CCM itashinda hata kwa goli la mkono!" Maana yake lazima uchaguzi Zanzibar urudiwe kwa sababu ni lazima CCM itangazwe mshindi kwa udi ama kwa uvumba!! Si Chadema wala Lowasa anayeweza kushinda uchaguzi katika nchi hii! Kamwe hata mkichaguliwa na waliowengi Ikulu mtaisikia tu. Hamruhusiwi kutinga humo! Sielewi kwa nini hamkuamini kauli hizo za viongozi waandamizi wa CCM. Tume ya uchaguzi ni yao na wanaiamuru kutangaza wanachopenda wao. Hivi wapinzani kwa mazingira haya mtathubutu kuingia katika uchaguzi wowote wakati ujao???? Kama sheria hazibadilishwi ni kupoteza muda na fedha!!
Hoja yako haina msingi kabisa.MANENO YAKO YANGEKUWA KWELI LOWASSA ASINGESHINDA 40%. CCM TUNGEMPA 2% TU KWA JINSI TUSIVYOMPENDA ACHUKUE NCHI. LAKINI ALICHOPATA NDIO MATAKWA YA WANANCHI!
Huko ni kuvimbiwa madaraka, aliyevimbiwa madaraka hudhan ni yeye tu ndiye mwenye akili kuliko wote waliomzungukaSi kweli...CCM iko tayari kukabidhi madaraka iwapo atatokea kiongozi wa upinzani anayeeleweka...
Ccm lazima ihakikishe inakabidhi madaraka kwenye mikono salama...hii ni kwa maslai mapana ya taifa,
Sasa kwaakili yako unadhani kwasasa kunakiongozi wa upinzani mwenye akili ya kuongoza watanzania?Huko ni kuvimbiwa madaraka, aliyevimbiwa madaraka hudhan ni yeye tu ndiye mwenye akili kuliko wote waliomzunguka
sasa mtakubali tu,nilivyowaambia kwamba,udhaifu wa Makufuli mtauona pale kwenye matatizo kati ya ccm na vyama vingine maana hapo lazima apendelee ccm, mambo hayo yanaanza kujitokeza kwenye uchaguzi wa Umeya Dar na baya zaidi ni kwenye hili la uchaguzi Zanzibar,hapo ndipo mtaamini kwamba ccm ni ileile isiyopenda hakiNikitafakari yaliyojiri Zanzibar katika uchaguzi uliopita na hasa nilipomsikiliza Maalim Sefu leo, aazidi kuzielewa kauli za Bulembo na Nape. Bulembo alisema, "Kuna jambo moja ambalo kamwe CCM hatuwezi kulifanya. Nalo ni kuruhusu Wapinzani kuingia Ikulu!" Haiwezekani CUF kuingia Ikulu hata kama wamechaguliwa na wengi! Nape yeye alisema, "Lazima CCM itashinda hata kwa goli la mkono!" Maana yake lazima uchaguzi Zanzibar urudiwe kwa sababu ni lazima CCM itangazwe mshindi kwa udi ama kwa uvumba!! Si Chadema wala Lowasa anayeweza kushinda uchaguzi katika nchi hii! Kamwe hata mkichaguliwa na waliowengi Ikulu mtaisikia tu. Hamruhusiwi kutinga humo! Sielewi kwa nini hamkuamini kauli hizo za viongozi waandamizi wa CCM. Tume ya uchaguzi ni yao na wanaiamuru kutangaza wanachopenda wao. Hivi wapinzani kwa mazingira haya mtathubutu kuingia katika uchaguzi wowote wakati ujao???? Kama sheria hazibadilishwi ni kupoteza muda na fedha!!
Thread za namna hii zauzushiuzushi hazikupaswa kuachiliwa ziendelee kupotosha uma hasa kwenye kipindi hikiUmeshau pia kauli ya mwanamama Asha Bakari kwenye Bunge Maalum la Katiba kule Dodoma mwaka 2014, wakati Bunge hilo lilipobaki likijadili Katiba wakiwa wamebaki peke yao baada ya wabunge wa upinzani kususia vikao hivyo.
Mwanamama huyo alitamka bila kupepesa macho kuwa Zanzibari kamwe haitakuja kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura!
Baada ya kutamka maneno hayo Bunge zima hilo la wanaccm lililipuka kwa kumshangilia mwanamama huyo.
Cha kustajaabisha kabisa Spika wa Bunge hilo Samuel Sitta hakuthubutu hata kumkemea mwanamama huyo wala kumwambia afute kauli yake hiyo ambayo ni ya hatari sana kwa nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Ndiyo maana kwa sasa kila anayekumbuka maneno ya Profesa Ibrahim Lipumba aliyoyatoa kwenye bunge hilo hilo kabla ya wabunge hao wa upinzani kutoka nje na kususia vikao hivyo kwa kuwafananisha CCM na Intarahamwe watarealize kwamba kumbe alikuwa sahihi by almost 100%
Kwa namna trend ya kisiasa inavyoendelea nchini, hususani mkwamo wa kisiasa wa Zanzibar na hili suala la CCM kutaka kulazimisha kupata Mameya katika Halmashauri za Ilala na Kinondoni, ingawa wanajua fika kuwa kwa idadi waliyonayo ya madiwani it is tmpossible by 100% kupata Mameya kwenye Halmashauri hizo, sioni kwa namna gani katika kipindi siyo kirefu kutoka sasa, viongozi hao wataepuka kuburuzwa kwenda mahakama ya kimataifa The Hague Uholanzi kwenda kujibu mashitaka yao ya uhalifu.
Ni hakika kabisa kuwa kwa sasa kila mtu hapa nchini anajua kuwa CCM ndiyo ipo msitari wa mbele hapa nchini kwa kudidimiza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kukiuka waziwazi misingi ya kidemokrasia ya mfumo wa vyama vingi na kujiona wao kama vile ndiyo wamekabidhiwa hati miliki na Mwenyezi Mungu wa kuitawala nchi hii hadi mwisho wa dunia!
Acha porojo,inawezekana wew si wa nchi hiiSi kweli...CCM iko tayari kukabidhi madaraka iwapo atatokea kiongozi wa upinzani anayeeleweka...
Ccm lazima ihakikishe inakabidhi madaraka kwenye mikono salama...hii ni kwa maslai mapana ya taifa,
Inawezekana wewe si MTZMAALIM HAJAWAHI KUSHINDA UCHAGUZI ZNZ. MWAKA HUU KAAMUA KUJITANGAZA AKIGOMBEA MARA YA TANO!
Ficha ukichaa wako ccm nyie mmevimbiwa uhongozi na amuwezi kukabidhi nchi kamwe kwa chama kingineAkitokea mpinzani mwenye akili ya kuongoza na asiyenunuliwa na vibaraka basi atapewa Nchi