Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
7,839
17,021
Akili ya mwanamke wa kisasa anapoanza kuingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza katika umri kati ya 16 years hadi 26 years haijapishana sana na akili ya mhitimu wa masomo ya chuo a.k.a graduate ambaye ametoka chuo na akili isiyojua dunia na ulimwengu wa ajira unataka nini kutoka kwake.

Graduates wengi siku chache kabla hawajahitimu vyuo huwa wanajiona ni kama product very expensive kwenye market na wanahitajika sana na huamini wale waliowatangulia kuhitimu ambao wapo kitaa wakisugua gaga, wakimaliza sori za viatu kwa kutembeza bahasha wana uzembe mwingi na hawajitambui na wamekosa uwezo wa kujiongeza na mbinu za kupata ajira za mishahara ya juu.

Hawa Graduates kipindi wanapokuwa mwaka wa kwanza,wa pili hadi watatu chuoni huwa wanajithaminisha sawa sawa na CEO wa kampuni fulani huku uraiani ambae analipwa milioni 10 kwa mwezi. So wao huamini akisoma kwa bidii na kudecorate cheti chake na A+ za kutosha pamoja na GPA ya 4.5 basi ataota mbawa za ushindi na atawapita waliomtangulia na ataenda straight kwenye top management na kupewa benefits zote kama gari, nyumba, ofisi nzuri, na mshahara mnono. Kwa kifupi anaamini anapotoka chuo basi makampuni yanatafuta mtu kama yeye na hawa aliowakuta wamekosa nyota kama yake.

Je hii ni kweli kwa wale ambao mlitoka vyuoni na mkafaulu vizuri?

Nadhani jibu mnalo kuwa katika graduates elfu moja wenye hilo zali hawafiki watano na hao watano ni wale wenye connection za maana za kupambaniwa. Wanaobakia wanakuja kuufahamu ukweli wa mambo baada ya kusota.

Hii imepishana padogo sana na mabinti/wanawake wanaopevuka na kuanza kunona na kuanza kupigiwa miluzi na kila mwanaume huko nje.

Wanawake wa kisasa akili zao huwaambia hays yafuatayo:

1. Yeye ni mzuri na wanaume wote wanataka kuwa na yeye kwa kifupi hakuna mwanamke anayemzidi kwa wakati huo ni swala la yeye kukutana na mwanaume atakae mtaka yeye sio mwanaume ataevutiwa nae. Same kwa graduate anaamini makampuni yanamhitaji sana yeye ni swala la kukutana na kampuni anayotaka yeye.

2. Bint anaeyaanza mahusiano huwa hawazi miaka 10 ijayo itamkutia wapi hivyo basi akili yake huwekeza kwenye status na sio future investment. Yuko tayari kuweka mwili wake rehani kwa wanaume za watu, wasanii, na wapemba wanaoojita waarabu, wahindi, wazungu, ili tu apate status ya kuonekana ni wa hadhi ya juu. Same kwa newly graduate, hawazi miaka kumi itamkutia katika hali gani, atakaa akiamini yeye ni wa hadhi ya kuajiriwa na makampuni makubwa kama Emirates, CRDB, Serena, hadhi yake haimruhusu kufanya kazi na vikampuni vidogo kama Jakaranda enterprises.

3. Target ya mwanamke wa kisasa Kwenye mahusiano ni kupata pesa nyingi ambazo hata hajui zinatoka wapi na analipwa kwa lipi yeye anachojua anastahili kupewa tu, wanamsemo wao wa kijinga utasikia "we nipe hela, me napenda hela sana" kama wagonjwa wa akili lakini muulize what do you bring in this relationship, na komwe lake atabakia ameduwaa kama kondoo anasubiria chakula. Same kwa graduates akipewa fursa ya interview na kampuni yeye interest yake ni kutaka kujua atapewa pesa kiasi gani na hapo hata hajajua anakwenda kuifanyia nini kampuni (why should we hire you) na akiulizwa ni kutumbua mimacho kama mwizi amekutwa store anadokoa mali.

4. Mwanamke wa kisasa anajitambulisha kama mwanamke wa hadhi na thamani ya juu sana above all ila sasa kaa nae chini muulize maswali ya msingi ujue kichwa chake kilivyo nazi. The same goes kwa graduate wana idea kwamba wao ni wa thamani sana kwasababu wanascore nzuri za vyeti, muulize sasa hadhi yako katika soko la ajira imelalia wapi, uone atakavyokutumbulia macho kama nguruwe.

5. Mabinti wa sasa hawapo tayari kwa majukumu yao ya msingi ya kike ambayo huitwa majukumu ya mke kama kutulia na mume, kutosaliti, kutii, kulea watoto, kufuata maamuzi ya mume, kuthamini pesa na muda wa mwanaume,etc ila wapo tayari kupokea benefits za mke kama kurithi mali, kutumiwa pesa, kushika pesa za mwanaume, kutoshare mwanaume, etc. Same kwa graduate hawapo tayari kujitoa kwanza na kuanzia chini na kampuni kufanya majukumu ya kampuni kuprove uwezo ila wapo tayari sana kupewa benefits za muwajiriwa za juu kama mshahara, marupurupu, usafiri etc bila kuzifanyia kazi.

6. Mabinti hutegemea external value kuaminisha wana internal quality. Binti atatia nguvu kuvaa vizuri, kupakaa make ups kushika simu ya bei, kuonyesha ana hang viwanja vya starehe vya bei ila ukweli ni kuwa tabia zero na hana hiyo thamani ya juu anayojiaminisha anayo same kwa graduates, atavaa suti au mavazi ya kicorporate makali, atafosi kupata uber sababu hana gari, atafosi kula sehemu za gharama but deep down ukimkagua hakuna thamani yoyote anayo maintain ni wa kawaida sana na anafosi life la standards ambazo hajafiki.

Msisitizo, huu uzi haulengi magraduates.
 
Umeandika ukweli ila tatizo lako ni ku-generalise, hatufanani mkuu mimi miaka mingi ila sijawahi kuwaza kuajiriwa na vyeti mpaka leo sijavofuata chuoni.
 
Wengine kupost picha wamejibinua binua insta na Mitandao mingine huko , Wakidhani watapata mwanaume mwenye pesa.. utasikia ameandika "Godly", "From church", "God is my Savior" ila ukiangalia hayo mapozi yamekaa kimtego mtego Tu..

Umesema Kweli kabisa mkuu, hua wanakuja kushtuka na kukua kiakili 26+ Ambapo wanakua wameanza kupoteza mvuto kulingana na umri hata matendo waliyoonyesha kabla..

Ndo mana Manabii wana wanawaumini wengi wadada 27+.. wanakimbilia kanisani wakidhani ndiyo watakutana ma mtu sahihi.

Sababu Mwanamke akikosa mtu wa kumuoa from 18-27.. Anaanza kupunguza probability ya kupata mtu wa kumuoa na Hapo ndipo Shida inapoanzia....

Nawakilisha .
 
Back
Top Bottom