Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 263
- 1,720
kwny mada ya leo nitaongelea akili kumi za kumteka mwanaume,wanaume tunatekwa kwa mambo madogomadogo sana,sasa ili ndoa yako inoge,ni muhimu kumwelewa mwanaume wa karne ya 21 ni kiumbe wa namna gani, generation Y and Z zina some sort of complications,most men wrongly know what they want,so ukimuuliza man wako akuambie anachotaka,anaweza akakuambia vitu vya ajabu ajabu ukabaki unashangaa,unachotakiwa kufanya ni kuisoma akili yake over time ili ujue utamnasa vp.
Twende Sasa kwenye akili kumi za kumteka mwanaume(mume)
1. Support maono yake
Mentor wangu mmoja aliwahi kusema,kazi kubwa ya mwanamke kwny ndoa ni kujua na ku support maono ya mume wake,maono ni ile picha ya maisha yenu yajayo,mara nyingi penda kumuuliza kuhusu future life,muulize anataka umzalie watoto wangapi?muulize kuhusu mipango yake ya kiuchumi then support him to fulfill his plans,wanawake wengi wanaweza kuwafikisha waume zao kileleni ila ni wachache sana wanaweza kuwafikisha waume zao kwenye kilele cha mafanikio.
2. Penda anachopenda
Angalia mumeo anapenda nn,Kama anapenda jogging,vizia ule muda anatoka kukimbia na ww unatoka unakimbia pamoja naye,Kama anapenda reading kama mimi,mteke kwa kumuuliza anapenda kitabu gani then siku ya siku unamletea kama zawadi,jua interest zake then mpigishe story mbili tatu kuhusu hicho anachopenda.
3. Treat him differently mbele ya wanaume wengine.
Zamani tukiwa wadogo,Kama mama kapika kuku,tulikuwa haturuhusiwi kabisa kula firigisi na mapaja,alikuwa anasema hivi ni vya baba yenu,hii akili walitumia sana wamama wa kipindi hicho,baba alikuwa Kama Mfalme,mwanamke kupiga goti ilikuwa ni kawaida,ukiwa mahali fanya iwe rahisi watu kujua huyo ni mume wako bila hata kusema.
4. Usipende pesa zake,penda idea zake.
Tabia ya kupenda na kuomba omba pesa kwa wanawake wengi imekuwa ni sugu mpk unahisi hawa viumbe wana vinasaba vya pesa😂😂 kipindi nachumbia nikasema mwanamke atakaye niomba pesa kabla sijamuoa hana bahati!chukua hii akili,badala ya kuomba omba pesa,omba akupe ideas za namna ya kupata pesa,omba akupe mtaji,ukifanya hivyo atakuona ww ni wife material sio mpigaji.
5. Degree of sensintivity
Huu ni uwezo wa kurespond unachoagizwa,
mwanaume ni mamlaka anapokuambia fanya kitu flani u hv to do it very quick,ule ushapu wako ndio silaha yako ya maangamizi,mwanamke unamtuma kitu anajivuta vuta,mara aseme nimechoka,Mara akataye utadhani amejioa!mabinti wa kazi wako vizuri sana kwenye hili eneo,ukikohoa tu utaskia abee baba..acha tuwape mauwa yao😀😀 hii ni sababu tosha kwanini most men wana cheat na wadada wa kazi,gwaride wanaliweza,hebu chukua haya madini ukaifufue ndoa yako,kulalamika kwamba mumeo ana cheat haitakusaidia.
6. Muonekano ndio kila kitu
Simaanishi uwe unajiremba sana na kuvaa nguo za thamani,hapana just be natural,uwe msafi na uwe na muonekano wa kike,wanawake wakiolewa wanajiachia sana,unakuta tumbo na kiuno vimeungana,huoni wapi kiuno kinaanzia wapi kinaishia,utakuta mwanamke ana kitambi na anakifuga tu,hata aibu siku hz hawana,hebu fanyeni mazoezi kuondoa hivyo vitambi,mnakera kwa kweli.
7.Acha kutamka maneno haya mbele ya mwanaume.
Nimechoka,nina usingizi,niko kipindi,mara oh!tufanye kesho,bi mdada sex kwa mwanaume aliyeoa ni basic need Kama pumzi tu,maneno hayo sio siri yanakera,niliona nchi moja,chumbani wanaweka vitanda viwili,siku mke akiwa kwny kipindi anatandika shuka jekundu, anahamia kitanda kingine,hebu na nyie tafuteni namna ya nzuri ya kutoa taarifa,sio jamaa anakushika ndio unajifanya oh naumwa!unajifanya kuonyesha na dawa...hebu acheni huo ujinga.
8. Dirty talk
Maneno yana nguvu asikuambie mtu,silaha mojawapo kubwa ya mwanamke ni ulimi,ustaarabu na lugha ya heshima ni mbele za watu,kwenye privacy be wild since hakuna Wanaume asiyependa dirty talk.
9. Mpe mechi za kushtukiza
Kuna wanawake wengine ni kama maroboti wamesetiwa,yaani yeye anachojua ni kusubiri aombwe mechi,hataki kuonekana malaya,huu ustaarabu unawaponza wanawake wengi sana,Sasa Kama kweli unataka kumteka kidume wako mara mojamoja omba mechi kwenye impossible angle,iwe alfajiri,mchana au usiku wa manane,fanya Ambush la kibabe,harafu usikariri mazingira,iwe bafuni,jikoni,ndani ya gari,porini,mechi popote ilimradi hakuna anayewaona.
10. Mwanamke kazi
Zile zama za u golikipa zimepitwa na wakati,now days heshima ni kazi,kuomba omba kila kitu Kama mtoto sio poa,go out and make dat money,ila Kama mumeo ni mkoloni heshimu maamuzi yake,but always find ways to make money even at home,mwanaume sio M-ngu,anytime anakata moto au anafukuzwa kazi,likitokea la kutokea,unakamata usukani una run family na hata ukimzidi kipato endelea kumpa heshima yake.
Note this
Wanaume wkt mwingine tunatofautiana kwny baadhi ya mambo,kuna wanaume wanapenda english figure, wengine wanapenda matukunyema,kuna wengine wanataka uwe na kazi,mwingine anataka uwe mother house,cha muhimu endelea kuisoma akili yake over time utamwelewa tu.
Haya sasa wadada wa jf,nimemwaga siri zote hadharani,mshindwe wenyewe.
Ningeweza kuandika mambo mengi ila ngoja niishie hapa.....,,.✍️