Akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo na pumzi inakata. Inaweza kuwa ni shida gani hii?

Taitu2024

JF-Expert Member
May 15, 2024
244
294
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk kama tano alafu anapata nafuu.

Hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo tukabadili hospital ma Dkt. bingwa wesema haumwi chochote.
 
Poleni, inawezekana ikawa ni kututumka kwa njia ya chakula/gastritis.

Akila chakula cha moto, chenye muwashawasha kama tangawizi, nyanya, ndimu, limao au chenye chumvi kiwambo cha kifua/dayaflamu kinabana anakosa hewa, anakosa nguvu na moyo kwenda mbio.

Ingawa, bado historia zaidi na kumkagua mgonjwa vinahitajika.

Daktari bingwa wa njia ya chakula/gastroenterologist atakuwa mwenye msaada zaidi.
 
Dr bingwa amepima akasema hakuna tatizo
 
Alipimwa nini?
Moyo ECG na kifua Kwa ujumla , tumbo wamepima figo hiyo ilikuwa bugando hatukuridhika tukaenda Kwa mabingwa wengine private nao wanasema hakuna kitu..lkn akianza kupata maumivu baada ya kula anakakamaa na dalili za degedege Kwa dk tano
 
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk kama tano alafu anapata nafuu.

Hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo tukabadili hospital ma Dkt. bingwa wesema haumwi chochote.
Akimeza chakula au akila chakula?
 
Hiyo huenda ikawa acid reflux au wanaita Gastroesophageal reflux disease (GERD)

Mimi si daktari lakini mwezi wa 4 mwaka huu nilipata hali ya kufanana na hiyo vipimo vyote hamna kitu.

Katika pitapita zangu nikagundua ni hiyo shida ila kwa sasa niko sawa

DR Mambo Jambo msaada zaidi mkuu.
 
Anaweza kuwa na GERD kama ulivyosema..
Ila kwa case yake inatakiwa apime EGD (esophagogastroduodenoscopy)

huenda akawa na Fungus ya Koo au Vidonda koo au Akawa na Tatizo jingine kubwa afanye kipimo hicho cha Endoscope kujiridhisha..

Maana esophageal Candidiasis Siku hizi ni nyingi sana..Watu wanazama sana Chumvini
 
Back
Top Bottom