nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,181
- 13,032
Haya ni maneno ya Bwashee anawaambia watu wa UHAMIAJI,,,,Huyu Bwashee yupo mamtoni anatafuta maisha na mambo kadha wa kadha kwa ajili ya kusaidia familia yake,jamii inayomzunguka(OFCOZ) anapojenga wana wanapata dili za hapa na pale katika kupunguza ukali wa maisha yaani kimsingi bwashee kaleta dili kitaa.
Sasa cha ajabu pamoja na kwamba jamii inayomzunguka inafaidi lakini bado hana AMANI kwa maana huyu Bwashee ni Mzalendo kweli kweli....anasikitika kwamba Taifa lale yaani TANZANIA halina faida yoyote inayopata toka kwake na sababu kubwa ni mazingira hovyo aliyowekewa na TZ.
Kwa mfano Kenya ndio inamfaidi huyu bwashee sababu Bwashee alipotaka kufungua Account kwenye bank za TZ aliletewa mizengwe ya kufa mtu...baaasi Bwashee akaona isiwe kesi akafungua Account EQUITY BANK ambayo inamuhudumia vyema kabisa kabisa lakini hii Bank ni ya Manyang'au wa hapo jirani K.E. hawana noma kwa mambo ya utafutaji yaani hawana roho ya kukunja aka kichawi.
Faida nyingine ni kwamba huyu Bwashee amegundua ukitoka mamtoni ukashukia Nairobi kwanza ni nafuu na hakuna mambo ya kiss eer ngee ,,,,sasa hapa wanaofaidi ni hawa hawa jamaa wa KE sababu ya chuki zetu sisi kwa sissi kuanzia watunga sheria mpaka wasimamiaji....
Mpaka shirika la ndege linalopata faida ni la hawahawa jirani zetu yaani KQ ndio anayoitumia Bwashee kuna msimu tiketi ya kwenda na kurudi mamtoni ni sawa na nauli ya basi Dar Mwanza...hizi tiketi ni timing ya kuzinunua tu.,,,sisi shirika letu la ndege nimesikia limenini sijui
URAIA PACHA ni chuki au wivu au nini sijui...Tanzania inachelewa kwa tu mambo tudogo tudogo twa kijima kabisa,,huyu Bwashee ana Passport ya mamtoni...sawa mnadai yeye si raia...lakini moyo mwili na nafsi yake vipo Tanzania passport ni makaratasi tu wala sio muhuri wa moto kwenye paji la uso...
Kila anachopata analeta nyumbani iwapo mazingira yangekuwa rafiki angeweza kufanya makubwa zaidi,,jirani zetu wanafaidika na tu loop holes tudogo tudogo toka kwetu na wana make kmmk kwa sababu ya ujuha wetu.
NITAENDELEA>>>>>>>>>> BWashee ametoka kidogo..........namchukua maelezo kuna kisa fedenge............>>>>>>>>>>>>>>