AJIRA ZA WALIMU: Bora ukweli unaouma kuliko uongo unaofurahisha

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Serikali iliweka wazi kwa walimu wa sanaa kuwa haitawaajiri, hilo liliwafungulia mlango wa kuingia mikataba katika sekta mbalimbali hasa za kielimu.

Kwa walimu wa Sayansi wa sayansi wakapewa maneno matamu ya uongo, suala ambalo wao wamebaniwa hawawezi kuingia mkataba na taasisi yoyote, kila taasisi inadai mtatukimbia hivi karibuni.

Kwa kuwa serikali haitaki kutoa ajira basi tunawaomba muweke wazi kuwa ajira hakuna ili zipatikane fursa sehemu nyingine. Maana kauli yenu ya uongo imeziba milango ya kupata ajira sekta binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…