Ajibu, Mkude nje kikosi cha Amunike kuelekea AFCON

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
24,028
38,325
Wachezaji saba waachwa kwenye kikosi cha AFCON 2019

Ibrahim Ajibu
Jonas Mkude
Shomari Kapombe
Khasim Khamis
Ayoub lyanga
Kennedy
Ally Ally

  • Wachezaji 32 wa Taifa Stars ambao wanaondoka kwenda kuweka kambi nchini Misri.

    Magolikipa
    1-Aishi Manula (Simba SC)
    2-Metacha Mnata (Mbao)
    3-Aron Kalambo (Tz Prisons)
    4-Seleman Salula (Malindi)
    5-Claryo Boniface (U20)

    Mabeki
    6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
    7-Vicent Philipo (Mbao)
    8-Gadiel Michael (Yanga)
    9-Mohamed Hussein (Simba)
    10-Ally Sonso (Lipuli)
    11-Erasto Nyoni (Simba)
    12-Kelvin Yondani (Yanga)
    13-David Mwantika (Azam)
    14-Agrey Moris (Azam)
    15-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)

    Viungo
    16-Himid Mao (Petrojet, Misri)
    17-Mudathir Yahya (Azam)
    18-Feisal Salum (Yanga)
    19-Fred Tangalu (Lipuli)
    20-Frank Domayo (Azam)

    Winga
    21-Saimon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
    22-Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)
    23-Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
    24-Miraji Athumani (Lipuli)
    25-Yahya Zayd (Ismaily, Misri)

    Washambuliaji
    26-Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
    27-Shaban idd Chulunda (Tenerife, Hispania)
    28-John Bocco (Simba)
    29-Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
    30-Kelvin John Mbappé (U17)
    31-Rashid Mandawa (BDF, Botswana)
    32-Adi Yussuf (Solihull Moors, England
    1120855
1120450
1120853
 
Back
Top Bottom