NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,916
Feminism – hawa feminists ajenda yao ni kutumia nguvu kubwa kuproove kwamba wanawake wapo sawa na wanaume na wanawake inabidi wapewe kipaumbele, huko Hollywood ndio wameona iwe sehemu ya kupush ajenda zao.
Mfano kwenye muvi ya Wakanda kutoka Marvels iliyotuwakilisha vema waafrika wameona ndio iwe sehemu ya kupush ajenda yao kwenye part 2.
Haiingii akilini hata kidogo hasa kwa utamaduni wetu waafrika eti wamemweka mwanamke awe kama warrior anaepigania kingdom na kuiongoza kama mfalme, the way wamefanya ni kuvuka mipaka ya vitu wanavyoweza wanawake.
Mapenzi ya jinsia moja na upinde – yaani walipofikia kwa sasa imeanza kuwa kawaida mpaka kinyaa, nguvu wanazotumia ni kubwa sana, wanaume wanabusiana, wanaume wanatongozana, wanaume wanapigana mitutu, wanawake wanasagana, n.k.
Mbaya zaidi wamei push ajenda mpaka kwa watoto kuwa brain-wash kwamba its okay kupenda jinsia sawa na pale inapotokea mtu anapinga vitendo hivi basi wamemjengea picha aonekane ni mtu mbaya anaefanya makosa.
Kufosi uwepo wa watu weusi – hapa wanalazimisha kuwe na uwakilishi wa watu weusi na ni jambo zuri ila kuna muda inafanya muvi ikose mvuto na uhallisia.
Mfano series za Maisha ya kale ya huko Ulaya, wamelazimisha uwepo wa watu weusi waonekane nao walikuwa wanaishi kawaida kitu ambacho ni kinyume na uhalisia kwa historia chungu ya ubaguzi wa rangi na utumwa, n.k. walioangalia series kama House of The Dragon na Lord of The Rings nadahani wamenipata hapa.