Ajali zinaepukika tukiacha siasa

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,274
35,989
Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.

1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA.

2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo na wezi WA mifugo.

3. Weka faini Kali (3m kila kosa) kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
 
Kama kweli tunataka kuokota maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.

1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Polish Makao Makuu, Magereza na TRA.

2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.

3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
Toa leseni kwa watu wenye vigezo tuu
 
Kama kweli tunataka kuokota maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.

1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Polish Makao Makuu, Magereza na TRA.

2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.

3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
We jamaa ni muongo, kwenye jumuia ama watu wengi huwezi kukomesha uhalifu, huwa tuna dhibiti, kwakifupi binadamu ana akili sana akipata tatizo huamsha ubongo na kupata suluhisho la tatizo lake Ndiyo maana matatizo ya binadamu hayaishi labda hadi afe
 
Wapunguze kodi za magari watu waendeshe magari ambayo hata ikitokea ajali ya kinga kubwa juu yao hivyo vipaso na ist hata muweke sheria gani ajali ndogo tu lazima watu wafe magari yenye kinga yapo machache sana kwa sababu ya kuwa na kodi kubwa..
Bara bara nzuri zinajengwa kwa sababu ya magari mazuri yanayokwenda Zambia, Malawi na DRC.
 
Inatakiwa tuwe na mjadala wa kitaifa na siyo kusubiri wanasisa tutaendelea kuumizwa na kufa kwa ajali, kuwaachia wanasiasa mambo ya msingi ni hatari, wanasia maamuzi yao yana pande mbili chanya na hasi
 
Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.

1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza na TRA.

2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.

3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
Trafiki ni miradi ya watoto wa wakubwa
 
Waweke camera kila sehemu muhimu. Ukivuka speed limit unatozwa faini kubwa. Ukishindwa kuilipa gari, pikipiki, bajaji linashikiliwa hadi uilipe na lipa zake. Sio hivi camera za kushika.

Ukikamatwa umelewa unaendesha ni leseni ichukuliwe. Ukisababisha ajali kizembe jela.
 
Waziri mwenye dhamana ya usafiri/Uchukuzi na Yule Mambo ya Ndani wachukue huu ushauri
 
Wafanye kama Rwanda...camera kila mahali. Kosa moja tu 50k hii hapo...message inakuja tu kwwnye simu yako. Usipolipa itaongezeka tu...
 
Na kwanini tuache siasa ilhali siasa ni maisha ya watu?

Hatuachi siasa na hatutaki ajali barabarani.

Good mornin!!
 
Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.

1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA.

2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo na wezi WA mifugo.

3. Weka faini Kali (3m kila kosa) kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
Naunga mkona hoja ,bila monitoring ya camera na kuwachaji na kuwakamata madereva hawatozingatia usalam barabarani.
 
Naamini leseni haina uhusiano sana na kuepusha ajali, chanzo kikubwa cha ajali huwa ni sisi waendesha vyombo vya moto, umakini unakuwa mdogo sana, speed nk mtu anaweza akaendesha chombo cha moto kwa muda mrefu bila kuwa na leseni na bila kusababisha ajali kama anajitambua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom