Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
7,835
10,360
Naomba serikali ifanye jambo hapa.

Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.

Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.

REJEA ANDIKO HILI:


MEREJEO MENGINE:

 
Naomba serikali ifanye jambo hapa.

Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.

Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.

REJEA ANDIKO HILI:


MEREJEO MENGINE:

Shida kwa hao watunga sheria, maana wao ndo wanaongoza kuvunja hizo sheria za barabarani. Rejea magari yenye namba za Gavoo.
 
Naomba serikali ifanye jambo hapa.

Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.

Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.

REJEA ANDIKO HILI:


MEREJEO MENGINE:

Siyo kila ajali ni zuembe wa madereva. Kuna ajali zinachangiwa pia na ubovu wa miundo mbinu, hitilafu ya gari na pia uzembe wa watumia njia wengine.
Tumezoea kuona kila ajali lawama anapewa dereva bila kuangalia upande wa pili wa chanzo cha ajali.

Tusiwe wepesi kila ajali kuanza kulaumu madereva tu
 
Back
Top Bottom