Ajali Round About ya Mission Mbagala

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,131
6,108
Kuna lori limepinduka mida hii hapa njia panda ya Kijichi.Inasadikiwa limebeba nguo nipo kwenye daladala naona raia wanakimbia kwenda kwenye eneo la tukio na wengine wanatoka wakiwa wameiba nguo na kukimbia.

Sina taarifa ya majeruhi wala vifo,barabara ya kutoka rangi 3 imeziba.
 
Foleni ipoje..??!
 
Foleni ipoje..??!
Mkuu niliuliza swali kule Tech kuhusu Motion detector switching yani kiaje hizi motion semsor zina switch circuit baada ya kudetect mtu kapita mahali, bei zipoje kwa sensors let say na taa ambayo ita detect movement na kuwaka mtu akipita inazima , nilikutag but naona hukujibu
 

zilongwa mbali, zitendwa mbali - asante jk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…