Ajali mbaya sana Tabata, magari matatu yahusika

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,904
43,809
Nimepita hapa Tabata Matumbi na kukuta Gari kubwa ya mizigo(semi) imepata ajali na imedondokea hiace na kuipiga daladala aina ya DCM.

Vilevile imesababisha magari mengine kugongana Eneo la tukio. Kontena imeanguka barabarani na kuziba njia.

Magari kadhaa yameharibika, watu wawili wamejeruhiwa na hakuna habari ya kifo.

Wewe jamaa kwenye hayo matukio unakuwepo ila hizo taarifa zaidi sijui ni nani atoe wakati wewe uko hapo ,hata ajali ya bodaboda aliyekimbizwa na polisi ilipotokea ulikua hapo na taarifa unataka walete wengine ,tukuelewaje ???
 
We mwenyewe ndo umeshuhudia eneo la tukio, afu tena unatuuliza eti 'mwenye taarifa' !!!

Haraka za nini kama huna full info za tukio? au kuna tuzo humu za kuanzisha uzi eeh?
 
Tupe taarifa zaidi maana wewe ndio upo eneo la tukio. Shusha na picha kabisa ikiwezekana.
 
Wewe jamaa kwenye hayo matukio unakuwepo ila hizo taarifa zaidi sijui ni nani atoe wakati wewe uko hapo ,hata ajali ya bodaboda aliyekimbizwa na polisi ilipotokea ulikua hapo na taarifa unataka walete wengine ,tukuelewaje ???
inaelekea huyu ndiye anayesababishaga ajali,haiwezekani kila ajali ya tabata relini anashuhudia yeye tu
 
Umepita hapo umekuta hiace limefunikwa na semi, sasa ndo uendelee kutupa taarrifa ww unakimbilia huku kabla hujamaliza kushuhudia, haya angalia vzr tena utupe full info,
 
TULIA Au Rudi Hapo Ulete Full Info Mkuu!! HBR Zenye Maswali Lukuki Ni Mfu!!! NENDA Tena Eneo La Tukio Mkuu!!
 
inaelekea huyu ndiye anayesababishaga ajali,haiwezekani kila ajali ya tabata relini anashuhudia yeye tu

Eti jibu lake alitaka tuwe wa kwanza kujua kabla ya taarifa za redioni na luninga bado hata picha anashindwa kutuma. Kila ajali ya tabata relini kuripoti yeye sio issue kwani yawezekana ana biashara anayoendesha maeneo hayo.
 
haahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…