Ni muda huu maeneo ya Manyoni round about kwenye crossing point Lori limesombwa na treni yenye kokoto kwa nyuma, lori limevutwa kama 200m hivi ndio likasimama.
Waliokuwa kwenye lori wametupwa kando huku wengine wakiwa wanawaka moto.
Sijaweza kuchukua picha maana tulikiwa mbali kidogo.