Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 237
- 165
Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto walishwe vilivyo vinono.
Akasema kuwa vigezo sijui umemaliza zama sijui mwaka huu,unapaswa kujiendeleza ili ushindane akatolea mfano nchi kama ghana wanafanya hivi.
Prof akaenda mbali zaidi akasema hatuwezi kuwa na walimu wa kufundisha kiingereza ilhali hawajui kiingereza hivyo lazima tutafute kilicho bora kwa watt wetu.
Soma Pia: Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usa
Rais amezungumzia maslahi ya walimu ni lazima sasa tuandae hao walimu wa kupata hayo maslahi.
Kwa hiyo kama bado kaka ama dada kaza sana jamaa wana lao jambo maana wamesema lazima tufanye maamuzi magumu.
Sasa tuache mazoea tujifue maana wanapoendea kutakuwa na kufukuzana kazi.
Waliokazini nao watafuatwa kupimwaaaa.