Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,055
- 6,082
Wakuu, Voice over LTE ni huduma inayomuwezesha Mtu Kupiga simu wakati Simu ipo kwenye mtandao wa 4G au LTE bila disruption yoyote ile sasa ndugu zangu Airtel wao mpaka leo hakuna Hio huduma kiasi kwamba Ukipiga simu kwa Airtel lazima Internet idrop 3G au iondoke kabisa, Vodacom na Tigo wao naona tayari wana hio huduma tunaomba sana Airtel mlete hio huduma
Apart from Internet disruption pia VoLTE inaongeza quality of call
Apart from Internet disruption pia VoLTE inaongeza quality of call