britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,166
- 33,538
Aina kumi za wanawake
1. Washirikina
Wanawake asilimia kubwa ni washirikina, na hata kama hakuzaliwa kwenye ushirikina ni rahisi zaidi kuingia kwenye mkumbo wa wanaoamini ushirikina, na kinachisababisha sana sana kujiingiza katika mambo haya ni kutoridhika wakidhani wamelogwa, ukomo wao wa kufikiria njia za kutatua matatizo umeishia hapo, wanakata tamaa mapema wanapopata matatizo , wanawake wengi 75% wanaohudhuria makanisani ndio washirikina na wanatapatapa sana , hawatulii sehem moja, kisa cha yote ni kukosa njia mbadala za kidunia za kutatua natatizo yao,
Utamgundua kila Mara anakwambia twende kuuliza we mambo yako yana mkono wa MTU, ukiangalia vibaya unakula uchafu pia, ndo maana wanaume wajanja hupenda kula na wake zao sahani moja ,ukiruhusu masuala ya kutunziwa chakula kula Mwenyewe umetoa demokrasia ya kukulisha dawa,
2. Wivu
Wanawake wa wivu ni wale hasa ambao wanapenda kuwa na kila kitu kuanzia kumiliki Mme kwa ubinafsi hataki wengine wamguse, pia wivu mwingine uko katika umiliki wa Mali, kama jiran au watoto wa jiran, au rafiki yake kafanikiwa anakuwa na wivu hadi kufika hatua kuchukiana wakati ni mambo ya kawaida, mpaka kuendeana kwa waganga wakati ni tatizo dogo, wengine mpaka kuwekeana sumu,
3. Malaya, hawa ni hatari zaidi na kugundua tabia zao ni simple, ushinda bar, mitandao ya kijamii hasa insta , Facebook, na kujifanya wanajua kila club, wengine wanadiliki hata kwenye matamshi yao kutamka maneno ya aibu kama k.ma, ch.pi, mb.o, hawana haya, mwanamke wa aina hii hata simu yake kama ni mkeo hakuzuii kuishika ila kila ukiingia inbox ni zero na sent items ni zero, yaan mesej anafuta ,
4. Wavivu/wazembe,
Kupaumbele cha mwanamke wa aina hii ni urembo uliopitiliza,
Hawa kila ukimuangalia ye ni kujipodoa na kuchonga kucha, kujifanya anechoka anataka kulala kila unapoanzisha mada za maendeleo hasa baada ya chakula cha usiku,
5. Wambea
Hawa kila kitu anajifanya kukijua yeye, ukitoka kazin wa kwanza kukusimulia mambo, majiran wakipigana yuko radhi aanze kujifanya ndo anafanya usafi mpakani ili awasikie kwa undani, yeye yuko tiyari kukusimulia hata madhaifu ya ndugu zake au mama yake, huyu kama unaye imekula kwako,
6. Wezi/ tapeli
Kuna kabila moja hapo Tanzania linaloaminika katika sector hii, wao uolewa kukamilisha lengo la kukuibia we we, uko naye lakin anajua lini atakuibia na kuondoka, ndo maana Mara nyingi ataulizia tarehe zako za nshahara, kiasi unachopata, na kujua account namba yako, na huna budi kumnyima maana ni wife wako, wako radhi kukushauri mkafanye mauaji ya nduguyo au mzazi au rafiki yako mwenye Mali ili.mkazifaidi, pia kama mwanamke wa aina hii ni mchumba wako utamuona atajifanya kuwa karibu na wewe siku za mwisho wa mwezi ndo anakupigia simu, yaan uhuni mwingi
7. Wakatiri,
wanawake wakatiri ni yule ambaye hajari uhai au kuumia kwa mwingine, huyu anaweza kuona mwenzake anateseka lakini ye anafuraia kimoyomoyo, yaan matatizo matupu, ndo hawa huwafanyisha ma house girl kazi na kuwakata mshahara kwa makosa mbali mbali, msichana wa aina hii huwa pia wanaweza kutoa hata mimba bila kujari kama wameua au lah, kukuwekea sumu, kwenye chakula wakati wa kukuangamiza,
8. Wavumilivu / waungwana
Hawa huvumulia kila kitu ambacho Mme wake anamfanyia bila kujali madhara yake, Mara nyingi hawa hawajaenda shule sana, na wanaogopa wazazi na wameambatana na hekima ya mungu, anaweza kupigwa na Mme wake anadharauliwa akatukanwa lakin hasemi popote pale, na wengine wanalazwa nje kabisa waume zao wakiwa wamelewa lakin wao kimya ni kuendelea na majukum mengine, ila ni wachache sana , katika mia wapo watatu tu,
9. Waoga kupitiliza,
hawa wanaogopa kila kitu na wanahisi labda wakiogopa ndo wataonekana wana heshima, yaan wanaogopa kila kitu kuanzia nyumbani mpaka kwenye jamii yaan wao hata kwenye mikutano ya kina mama wao wakimya sana, wanaogopa hata kuchangia mawazo wakidhan labda watakosea na wachekwe kumbe hapana, na waoga kuanzisha hata miradi mbali mbali wakiogopa kufulisika Benk zikanadi nyumba zao, linaweza tokea tatizo ambalo anaweza kulimudu lakin anasuburi mme arudi, pia usiku anaweza kuwa anaumwa akaombwa mchezo na Mme akaogopa kumweleza akakubali tu,
10. Wajuaji
Hawa kila kitu wanajifanya kukijua , ukisema hili utasikia ooh hata kwetu tulifanya hivi na vile, ukisema iki kashadakia, ukiwa na akaunt JF anataka naye awe Nayo, kama hamjaoana ukimwambia nimepata semina sehem ,naye atakwambia sisi tunaenda week ijayo, ukasema natafta passport kusafiri utasikia mi imenisumbua sana aisee,,
Najua zipo aina nyingi lakin tuishie hapo hizo ndo muhim, kama kuna MTU ana ya kuongezea au kurekebisha asema
Wiki ilopita tulizungumzia wanaume hapa
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17511077